aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Duniani kote timu zote jezi za timu kuanzia ya wakubwa ya wanawake za vijana hufanana kuanzia dizaini nembo ya mdhamini na mengine.
Ili huyu dada kwa ujuaji wake anataka simba queens wavae tofauti na timu ya wakubwa hii ya wapi hii?
Na anahisi kufanya hivyo jezi hizo pia zitawekwa sokoni wadau wanunue? Yaani jezi ya timu moja iwe sokoni na nembo mbili za wadhamini?