Ujuaji wa hovyo na tamaa ya Babra unazua sintofahamu nje ya nchi

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Duniani kote timu zote jezi za timu kuanzia ya wakubwa ya wanawake za vijana hufanana kuanzia dizaini nembo ya mdhamini na mengine.

Ili huyu dada kwa ujuaji wake anataka simba queens wavae tofauti na timu ya wakubwa hii ya wapi hii?
Na anahisi kufanya hivyo jezi hizo pia zitawekwa sokoni wadau wanunue? Yaani jezi ya timu moja iwe sokoni na nembo mbili za wadhamini?

 
mleta mada huna akili.
Ila wabongo sijui Kuna shida gani. Sasa mkuu matusi ya Nini, kwani ungemjibu Kwa hoja ungepungukiwa Nini mkuu.

Kuna shida sana waTz kuliko tunavyoaminishwa. Hukuwa na sababu hata Moja kumtukana mtoa mada. Ungesema tu si kweli Kwa sababu Moja mbili tatu. Huo ndio uungwana mkuu. Na mtoa mada kutofautiana mawazo na wewe hakumfanyi kuwa Hana akili
 
Na yeye hakukuwa na sababu ya kumtukana Barbra angeuliza aelekezwe.
Ukija hovyo, watu waliohovyo kama wewe ( yeye ) watakupokea.
Mleta mada ni mjuaji wa vitu ambavyo havijui na anaonekana hapendi kujifunza.
Mbona ya barcelona hajaleta?
Ac milan je'm
 
Hamasa ya watu kuwekeza kwa wanawake kwa nchi yetu ilikuwa bado sana labda huko mbeleni usifananishe Manchester United na arsenal kama mfano kwa simba queen mfano wako ni ivalid hauendani na uhalisia landa ukawape yanga princess kwanza.
 
basi tusiseme hana akili ila tuseme ni mjinga
 
katika mashabaki wa yanga ukimtoa baba yangu (Mzee sunday manara ) na kikwete waliobak wote hawana akili
mwisho wa kunukuu

Ac milan
Barecelona
Dortmund
Olimpic lyon
Ajax
hizo zote n team za wanawake lakin kits zao n tofaut na na za wanaume
 
Mweh huyo mchezaji jezi no 18 wa Man UTD queens ata nikipewa Bure sintokubali ....😀😀 Utazaji jambawazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…