Ujuaji wa hovyo na tamaa ya Babra unazua sintofahamu nje ya nchi

Kweli maneno yanaishi na yanauvaa uhusika...... wenye akili ni 2 tuu
 
Duniani kote timu zote jezi za timu kuanzia ya wakubwa ya wanawake za vijana hufanana kuanzia dizaini nembo ya mdhamini na mengine. Ili huyu dada kwa ujuaji wake anataka simba queens wavae tofauti na timu ya wakubwa hii ya wapi hii?
Mkuu, bado upo? 😁 😁 😁
 

Tatizo ni kujibia nyuma ya keyboard...
 
Hiyo ni sheria ya wapi???acha ushamba haya mambo ni makubaliano baba!!!
 
Si lazima kufanya kila kitu kifanane na wengine.. Sometimes you have to be Xcluziv
 
Wewe nae unjifanya mjuaji kumbe hamna kitu, katafte jezi ya timu ya Barcelona ya wanawake uone mdhmini wao ni nani na ile ya wanaume ni nani.
 
Mambwiga wa Utopolo hamna aibu kila siku kuanzisha nyuzi kumkandia Barbara? Wanaume na kende zenu kutwa kucha kumjadili demu nyie wa wapi nyie?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…