unavyomwongelea Ajib utazani mpira wake alianzia yanga, Ajib aliondoka Simba kipindi Simba imeyumba kiuchumi lakini alipoamua kurudi Simba yanga wakajifanya wamemtafutia nafasi Mazembe wakati inajulilana yanga ni ngumu kuuza wachezaji nje. kitendo Cha Ajib kurudi Simba kiliwauma sana yanga kuliko Simba walivyomwacha kwenda yanga. Simba ilivyomsajili Ajib so kwamba ilikuwa inahitaji Bali ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa yanga na lengo lao lilifanikiwa maana mpaka Leo yanga wanamwongelea Ajib.Yuko wap ajibu aliyeikataa mazembe akaenda simba, leo hii hafai hata kwa ndondo, mwangalie eliud mpepo asiyepita tim za kariakoo na wengine kibao
Hivi unajua Ajib alitokea wapi kabla ya kwenda Yanga?Yuko wap ajibu aliyeikataa mazembe akaenda simba, leo hii hafai hata kwa ndondo, mwangalie eliud mpepo asiyepita tim za kariakoo na wengine kibao
Bila kumsahau George MpoleYuko wap ajibu aliyeikataa mazembe akaenda simba, leo hii hafai hata kwa ndondo, mwangalie eliud mpepo asiyepita tim za kariakoo na wengine kibao
KabisaBila kumsahau George Mpole
Ajib ametokea simba akicheza misim takriban minne tena alikuwa under 20 lkn akapata zali akaliacha, leo hii kitu anajuta ni kukataa kwenda mazemb, ambapo ndipo palikuwa mlango wa samata kwenda EuropeHivi unajua Ajib alitokea wapi kabla ya kwenda Yanga?
Sijui umezaliwa mwaka gani, hivi unaijua Safari ya Nonda Shabani. Mchezaji aliyepita Yanga mpaka kucheza fainali ya UEFA na timu yake ya MONACO na baada ya hapo akaenda kucheza Blackburn Rovers iliyokuwa ikicheza ligi kuu ya Uingereza, hivi kuna mchezaji yoyote aliyepita KOLO FC aliye wahi kufikia hayo mafanikio, vp wakina Sunday Manara,haya Mayele nae.unavyomwongelea Ajib utazani mpira wake alianzia yanga, Ajib aliondoka Simba kipindi Simba imeyumba kiuchumi lakini alipoamua kurudi Simba yanga wakajifanya wamemtafutia nafasi Mazembe wakati inajulilana yanga ni ngumu kuuza wachezaji nje. kitendo Cha Ajib kurudi Simba kiliwauma sana yanga kuliko Simba walivyomwacha kwenda yanga. Simba ilivyomsajili Ajib so kwamba ilikuwa inahitaji Bali ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa yanga na lengo lao lilifanikiwa maana mpaka Leo yanga wanamwongelea Ajib.
Tatizo ambalo naliona bado lipo Hadi mwaka 2023 maana nilidhani lingeisha 2022 baada ya kujifunza Kwa matukio ya Manzoki na Bigirimana ni kitendo cha timu kusajili ili ipate VIBE la mashabiki badala ya kusajili Kwa mahitaji. Timu za wenzetu zinashow interest Kwa mchezaji hata kama kuna timu nyingine nayo imetangaza nia. Lakini kwetu eti timu inaweza kutangaza imeiba mchezaji Airport na mashabiki wakashangilia.unavyomwongelea Ajib utazani mpira wake alianzia yanga, Ajib aliondoka Simba kipindi Simba imeyumba kiuchumi lakini alipoamua kurudi Simba yanga wakajifanya wamemtafutia nafasi Mazembe wakati inajulilana yanga ni ngumu kuuza wachezaji nje. kitendo Cha Ajib kurudi Simba kiliwauma sana yanga kuliko Simba walivyomwacha kwenda yanga. Simba ilivyomsajili Ajib so kwamba ilikuwa inahitaji Bali ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa yanga na lengo lao lilifanikiwa maana mpaka Leo yanga wanamwongelea Ajib.
Wachezaji wa Tanzania, waliocheza ulaya ni wengi mno, akina Nico Njohole, Bob Chopa, Shekhan Rashid, Henry Joseph, Kali Ongala nk lakini waliopata mafanikio ulaya kutoka Tanzania ni wanne tu Samata, Novatus, Kasimu Manara na Mkongo man Nonda. Hata Sunday Manara hakupata mafanikio makubwa huko Netherland na Marekani.Sijui umezaliwa mwaka gani, hivi unaijua Safari ya Nonda Shabani. Mchezaji aliyepita Yanga mpaka kucheza fainali ya UEFA na timu yake ya MONACO na baada ya hapo akaenda kucheza Blackburn Rovers iliyokuwa ikicheza ligi kuu ya Uingereza, hivi kuna mchezaji yoyote aliyepita KOLO FC aliye wahi kufikia hayo mafanikio, vp wakina Sunday Manara,haya Mayele nae.
Nyinyi Ajib mlimuacha baada ya kuona mna kikosi kipana na ndipo Yanga ikamchukua, alivyokuja Yanga baada ya kupeform vizuri mkamrudisha.Ajibu Kaondoka kipindi Simba kipindi mpo vizuri Yanga wapo hovyo.
Sasa jiulize kwa CV tu ya Nonda Shabani/Sunday Manara kati ya KOLO FC na Yanga ipi inajulikana ulaya.
Yanga ndiyo imetoa mcjezaji wa kwanza wa kulipwa kucheza nje ya moja ya iliyokuwa ligi kuu huko ulaya Ligi ya uholanzi. Karudie tena kufanya homework yako.
Hapo umemaliza ndugu yangu, viumbe wa humu ndani wanapenda sana kubwabwaja. Hata dili ya Samatta kwenda Vila, Dauda alikuwa na mchango mkubwa sana, yeye ndiye aliyemlink Samatta na wakala aliyefanikisha dili lile, then leo mtu kutoka mbwinde huko anakuja kusema Dauda this Dauda that!! SHAME ON YOU!!!Uzuri shaffih anawatu anaowasimamia kwenye soka na tayari wamefanikiwa
MkuuSijui umezaliwa mwaka gani, hivi unaijua Safari ya Nonda Shabani. Mchezaji aliyepita Yanga mpaka kucheza fainali ya UEFA na timu yake ya MONACO na baada ya hapo akaenda kucheza Blackburn Rovers iliyokuwa ikicheza ligi kuu ya Uingereza, hivi kuna mchezaji yoyote aliyepita KOLO FC aliye wahi kufikia hayo mafanikio, vp wakina Sunday Manara,haya Mayele nae.
Nyinyi Ajib mlimuacha baada ya kuona mna kikosi kipana na ndipo Yanga ikamchukua, alivyokuja Yanga baada ya kupeform vizuri mkamrudisha.Ajibu Kaondoka kipindi Simba kipindi mpo vizuri Yanga wapo hovyo.
Sasa jiulize kwa CV tu ya Nonda Shabani/Sunday Manara kati ya KOLO FC na Yanga ipi inajulikana ulaya.
Yanga ndiyo imetoa mcjezaji wa kwanza wa kulipwa kucheza nje ya moja ya iliyokuwa ligi kuu huko ulaya Ligi ya uholanzi. Karudie tena kufanya homework yako.