Ujuaji wa Singano na kudanganywa na dalali Shaffih kumemponza

Tatizo ambalo naliona bado lipo Hadi mwaka 2023 maana nilidhani lingeisha 2022 baada ya kujifunza Kwa matukio ya Manzoki na Bigirimana ni kitendo cha timu kusajili ili ipate VIBE la mashabiki badala ya kusajili Kwa mahitaji. Timu za wenzetu zinashow interest Kwa mchezaji hata kama kuna timu nyingine nayo imetangaza nia. Lakini kwetu eti timu inaweza kutangaza imeiba mchezaji Airport na mashabiki wakashangilia.
Kwa wenzetu Hakuna usajili wa kukomoa Mpinzani, lakini kwetu timu inaweza kusajili mchezaji isiyemuhitaji ilimradi mpinzani wake asimpate (Refer Dominic Salamba na Denis Nkane).
Unamjua dominic salamba?

Au ulitak kusema Adam salamba
 
Sijui umezaliwa mwaka gani, hivi unaijua Safari ya Nonda Shabani. Mchezaji aliyepita Yanga mpaka kucheza fainali ya UEFA na timu yake ya MONACO na baada ya hapo akaenda kucheza Blackburn Rovers iliyokuwa ikicheza ligi kuu ya Uingereza, hivi kuna mchezaji yoyote aliyepita KOLO FC aliye wahi kufikia hayo mafanikio, vp wakina Sunday Manara,haya Mayele nae.

Nyinyi Ajib mlimuacha baada ya kuona mna kikosi kipana na ndipo Yanga ikamchukua, alivyokuja Yanga baada ya kupeform vizuri mkamrudisha.Ajibu Kaondoka kipindi Simba kipindi mpo vizuri Yanga wapo hovyo.

Sasa jiulize kwa CV tu ya Nonda Shabani/Sunday Manara kati ya KOLO FC na Yanga ipi inajulikana ulaya.

Yanga ndiyo imetoa mcjezaji wa kwanza wa kulipwa kucheza nje ya moja ya iliyokuwa ligi kuu huko ulaya Ligi ya uholanzi. Karudie tena kufanya homework yako.
Mazembe, genk, aston villa,uturuki, genk, ugiriki.mkibishana muweke na kumbukumbu.
 
Wachezaji wa Tanzania, waliocheza ulaya ni wengi mno, akina Nico Njohole, Bob Chopa, Shekhan Rashid, Henry Joseph, Kali Ongala nk lakini waliopata mafanikio ulaya kutoka Tanzania ni wanne tu Samata, Novatus, Kasimu Manara na Mkongo man Nonda. Hata Sunday Manara hakupata mafanikio makubwa huko Netherland na Marekani.
Nayajua hayo yote mimi nilikuwa nampa taarifa wachezaji walicheza ulaya ambao wamepita Yanga.
 
Huyu dogo alidanganywa sana eti kutosajiliwa timu za ndani.

Kama kuna mchezaji yeyote mwenye ndoto za kucheza ulaya unaachaje kusajiliwa Simba?

Ujinga mnaojazwa na hao madalali unawafanya mjutie maamuzi yenu mara zote.

Hivi sasa huyu kijana aliyepachikwa jina la Messi namuona yupo yupo tu.

Tumieni akili zenu nanyi pia.Ukitaka sifa za kijinga nenda yanga, ukitaka kufanikiwa kimataifa cheza Simba. Simba hawana tabia ya kubania wachezaji na figisu figisu kama za yanga.

Hata hivyo Yanga yenyewe nani anaijua Ulaya?

Ulanzi una kusumbua
 
Singano
Eliud Ambokile
George Mpole
Walizikataaa Simba na Yanga kwa masimangoooo, wakakimbilia CONGO sjui kama wana Akili timamu. Leo hawajulikani walipo
 
Hapo umemaliza ndugu yangu, viumbe wa humu ndani wanapenda sana kubwabwaja. Hata dili ya Samatta kwenda Vila, Dauda alikuwa na mchango mkubwa sana, yeye ndiye aliyemlink Samatta na wakala aliyefanikisha dili lile, then leo mtu kutoka mbwinde huko anakuja kusema Dauda this Dauda that!! SHAME ON YOU!!!
Dauda katimiza wajibu wake kumconnect mchezaji, swala la mchezaji kutopeform ni swala la mchezaji mwenyewe.

Ila wabongo lawama tunampa Dauda.
 
Sijui umezaliwa mwaka gani, hivi unaijua Safari ya Nonda Shabani. Mchezaji aliyepita Yanga mpaka kucheza fainali ya UEFA na timu yake ya MONACO na baada ya hapo akaenda kucheza Blackburn Rovers iliyokuwa ikicheza ligi kuu ya Uingereza, hivi kuna mchezaji yoyote aliyepita KOLO FC aliye wahi kufikia hayo mafanikio, vp wakina Sunday Manara,haya Mayele nae.

Nyinyi Ajib mlimuacha baada ya kuona mna kikosi kipana na ndipo Yanga ikamchukua, alivyokuja Yanga baada ya kupeform vizuri mkamrudisha.Ajibu Kaondoka kipindi Simba kipindi mpo vizuri Yanga wapo hovyo.

Sasa jiulize kwa CV tu ya Nonda Shabani/Sunday Manara kati ya KOLO FC na Yanga ipi inajulikana ulaya.

Yanga ndiyo imetoa mcjezaji wa kwanza wa kulipwa kucheza nje ya moja ya iliyokuwa ligi kuu huko ulaya Ligi ya uholanzi. Karudie tena kufanya homework yako.
labda nikuulize wewe mwaka uliozaliwa Nonda alitumia juhudi binafsi, ndio maana Tanga haikupata hata Senti alivyoenda kucheza Africa Kusini. Alienda ulaya kutokea Africa Kusini.
Sekilojo alipata timu Africa Kusini ila Tanga walimbania, Tegete alipata nafasi ya Sweden yanga walimbania, Ngassa alipata timu Sudan yanga wakamdanganya. Sunday alivyoenda ulaya hakutokea yanga mchezaji mnayeweza kujivunia ni Msuva na Mayele.
 
So hao wanaotoka Simba kwenda ulaya wanaenda kwa juhudi za Simba?

Hizo story za Tegete kubaniwa kwenda ulaya za uongo, Tegete na mjua na baadhi ya washkaji zake ni mabro wangu kitaa so hiyo chai.

Yaani Yanga imzuie Ngasa kwenda Sudan then imruhusu kwenda West Ham kufanya trial, unaonekana hata unacho kiongea hukijui, Ngasa kafanya trial mpaka US kipindi akiwa Yanga.

Huna unacho kijua ww ,umekalia ushabiki na timu lako la Kolo FC.Sunday manara alionekana kwenye mechi ya Kirafiki iliyochezwa hapa bongo na Molde FC ya Norway then kocha wa Molde akamuona na akamtafutia connection kwenda kufanya majaribio Denmark then ndio akapata timu uholonzi, akiwa chini ya Yanga.

Huna unachokijua.
 
inaonekana unaokota story za kijiwenu, Tegete alipata timu ya kwenda kufanya majaribio Sweden Yanga wakamwambiaa asubiri mechi Yao na Simba, Ngassa baada ya kutolewa kwa mkopo Simba kutoka Azam alipata timu Sudan lakini Yanga wakamdanganya akarudi Yanga na aliposhitakiwa na Simba TFF Ile faini aliyotozwa alilipa mwenyewe mpaka akawa analalamika Leo hii SI lolote Wala chochote Yanga.
 
Huko US na West Ham alipelekwa akiwa chini ya club gani?
 
Back
Top Bottom