Ujuaji wa Singano na kudanganywa na dalali Shaffih kumemponza

Ujuaji wa Singano na kudanganywa na dalali Shaffih kumemponza

Nachoona wengi mashabiki wa simba hawajui mpira zaidi ya umbea umbea tu hii team ni ya ajabu sana
 
inaonekana unaokota story za kijiwenu, Tegete alipata timu ya kwenda kufanya majaribio Sweden Yanga wakamwambiaa asubiri mechi Yao na Simba, Ngassa baada ya kutolewa kwa mkopo Simba kutoka Azam alipata timu Sudan lakini Yanga wakamdanganya akarudi Yanga na aliposhitakiwa na Simba TFF Ile faini aliyotozwa alilipa mwenyewe mpaka akawa analalamika Leo hii SI lolote Wala chochote Yanga.
Tegete Sweden alienda na kufunga alifunga,yule dogo mzembe/mvivu,alirudi yanga,ngasa alitakiwa na lovham,akakataa,wakaja hilal
 
Back
Top Bottom