Ujuaji wa Singano na kudanganywa na dalali Shaffih kumemponza

Unamjua dominic salamba?

Au ulitak kusema Adam salamba
 
Mazembe, genk, aston villa,uturuki, genk, ugiriki.mkibishana muweke na kumbukumbu.
 
Nayajua hayo yote mimi nilikuwa nampa taarifa wachezaji walicheza ulaya ambao wamepita Yanga.
 

Ulanzi una kusumbua
 
Singano
Eliud Ambokile
George Mpole
Walizikataaa Simba na Yanga kwa masimangoooo, wakakimbilia CONGO sjui kama wana Akili timamu. Leo hawajulikani walipo
 
Dauda katimiza wajibu wake kumconnect mchezaji, swala la mchezaji kutopeform ni swala la mchezaji mwenyewe.

Ila wabongo lawama tunampa Dauda.
 
labda nikuulize wewe mwaka uliozaliwa Nonda alitumia juhudi binafsi, ndio maana Tanga haikupata hata Senti alivyoenda kucheza Africa Kusini. Alienda ulaya kutokea Africa Kusini.
Sekilojo alipata timu Africa Kusini ila Tanga walimbania, Tegete alipata nafasi ya Sweden yanga walimbania, Ngassa alipata timu Sudan yanga wakamdanganya. Sunday alivyoenda ulaya hakutokea yanga mchezaji mnayeweza kujivunia ni Msuva na Mayele.
 
So hao wanaotoka Simba kwenda ulaya wanaenda kwa juhudi za Simba?

Hizo story za Tegete kubaniwa kwenda ulaya za uongo, Tegete na mjua na baadhi ya washkaji zake ni mabro wangu kitaa so hiyo chai.

Yaani Yanga imzuie Ngasa kwenda Sudan then imruhusu kwenda West Ham kufanya trial, unaonekana hata unacho kiongea hukijui, Ngasa kafanya trial mpaka US kipindi akiwa Yanga.

Huna unacho kijua ww ,umekalia ushabiki na timu lako la Kolo FC.Sunday manara alionekana kwenye mechi ya Kirafiki iliyochezwa hapa bongo na Molde FC ya Norway then kocha wa Molde akamuona na akamtafutia connection kwenda kufanya majaribio Denmark then ndio akapata timu uholonzi, akiwa chini ya Yanga.

Huna unachokijua.
 
inaonekana unaokota story za kijiwenu, Tegete alipata timu ya kwenda kufanya majaribio Sweden Yanga wakamwambiaa asubiri mechi Yao na Simba, Ngassa baada ya kutolewa kwa mkopo Simba kutoka Azam alipata timu Sudan lakini Yanga wakamdanganya akarudi Yanga na aliposhitakiwa na Simba TFF Ile faini aliyotozwa alilipa mwenyewe mpaka akawa analalamika Leo hii SI lolote Wala chochote Yanga.
 
Huko US na West Ham alipelekwa akiwa chini ya club gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…