Nonda shabani mnajivunia simba safi sanaTena hata nao wameenda Afrika Kaskazini, sio Ulaya
Lakini wenye akili huku wapo zaidi ya wawiliNachoona wengi mashabiki wa simba hawajui mpira zaidi ya umbea umbea tu hii team ni ya ajabu sana
Wenye akili ni ndio hao wanaenda kununua kipa wa daraja la IV anaumia kabla hajaingia uwanjaniLakini wenye akili huku wapo zaidi ya wawili
Hiyo ya kuumia wanawadanganya wajinga kama weweWenye akili ni ndio hao wanaenda kununua kipa wa daraja la IV anaumia kabla hajaingia uwanjani
Wanajua nyie ni mbumbumbu watakalo sema mnakubaliHiyo ya kuumia wanawadanganya wajinga kama wewe
Tegete Sweden alienda na kufunga alifunga,yule dogo mzembe/mvivu,alirudi yanga,ngasa alitakiwa na lovham,akakataa,wakaja hilalinaonekana unaokota story za kijiwenu, Tegete alipata timu ya kwenda kufanya majaribio Sweden Yanga wakamwambiaa asubiri mechi Yao na Simba, Ngassa baada ya kutolewa kwa mkopo Simba kutoka Azam alipata timu Sudan lakini Yanga wakamdanganya akarudi Yanga na aliposhitakiwa na Simba TFF Ile faini aliyotozwa alilipa mwenyewe mpaka akawa analalamika Leo hii SI lolote Wala chochote Yanga.