Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Tayari keshaharibuNa ww umeuzunguka Mara ngapi ndg
Nimezunguka mara kumi napanga nije tena.Na ww umeuzunguka Mara ngapi ndg
Awamu Ya Tano Utasikia Mengi SanaNdio nasikia kwako hii
Ngoja niwahi sitiMakumbusho ya Kaole, Bagamoyo yana mti aina ya mbuyu wenye miaka zaidi ya 500.
Mbali na kuwa na umri mkubwa, mti huu unaambatana na imani ambazo zilikuwa za watu wa eneo hilo.
Mti huu unasadikiwa kuwa unapozungukwa kushoto kwenda kulia mtu anaongeza umri wa kuishi na vinginevyo anapunguza umri wa kuishi.
Pia ukizungukwa zaidi ya mara saba hubadili jinsia, ambapo inasemekana kama mtu ni mwanaume anaanza kuwa na tabia za kike na wa kike anaweza kuwa na tabia za kiume.
View attachment 1654983
Tabia imebadilika au iko vilevile?Nimezinguka mara kumi napanga nije tena
Mtakuja kuwa mashoga kwa kujaribu jaribu ata visivyp jaribiwaTabia imebadilika au iko vilevile?
Mzee hapo umechomoa betriMtakuja kuwa mashoga kwa kujaribu jaribu ata visivyp jaribiwa
Imebidi nicheke tu [emoji16]Nashauri serikali sikivu ya awamu ya tano iandae utaratibu wanaume kama kina James delicious wakazungushwe kwa lazima huko
Oooooh kumbe babeeh ulienda? Why hukunichukua na mie?Mimi na Crew yangu tulifika hilo eneo tukapata habari zake, tukauzunguka mti huo mara 7, ilikua for fun hakuna mtu aliweka imani ya kinachoelezwa,
Pia kuna kisima hapo hapo Kaole wanasema kipo tangu karne ya mbali huko hakikauki maji pia hakina chumvi licha ya kua karibu na bahari, watu wana nawa na wengine wanakunywa maji yake kwa ajili ya kupata baraka.