Ujue mbuyu wenye miaka zaidi ya 500, unaoweza kubadili jinsia

Ujue mbuyu wenye miaka zaidi ya 500, unaoweza kubadili jinsia

Sasa kwani wewe ni mwanaume?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe tunakujua kama ni pengo, a.k.a gasho.



[emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484]
Uko sawa?
Mbona kama umekurupushwa huku una kipande cha Umthondo kwenye ingquza,
[emoji15]
 
Hii ya kuongeza umri wa kuishi kwa kuuzunguka inaweza kuwa Mkakati wa kuvutia watu wengi waende kuuzunguka kisha tuongeze watalii!
 
Elfu 3 tu. Ila inabidi uwe na mwongoza watalii ili akupatie simulizi mbalimbali za eneo hilo. Niliyekuwa naye alinizungusha sehemu kama 3. Mwisho nilimlipa elfu 20. Miaka 2 iliyopita.

Kuna kaburi pale inasemekana Mwl. Nyerere alilala pale akifanyiwa tambiko. Na baada ya tambiko, wazee wakamruhusu aende sasa Ulaya kudai uhuru.
Nadhani ukishalipia ni lazima upewe mtu wa kukuzungusha, kumpa chochote ni kama ahsante tu sio lazima, kwa uzoefu wangu lakini,

Nilivyoenda mimi nilikua na crew ya foreigners nadhani tulilipa 10000 kila mmoja,

Yule aliyetutembeza alipata na yeye bakshishi yake.
 
Makumbusho ya Kaole, Bagamoyo yana mti aina ya mbuyu wenye miaka zaidi ya 500.

Mbali na kuwa na umri mkubwa, mti huu unaambatana na imani ambazo zilikuwa za watu wa eneo hilo.

Mti huu unasadikiwa kuwa unapozungukwa kushoto kwenda kulia mtu anaongeza umri wa kuishi na vinginevyo anapunguza umri wa kuishi.

Pia ukizungukwa zaidi ya mara saba hubadili jinsia, ambapo inasemekana kama mtu ni mwanaume anaanza kuwa na tabia za kike na wa kike anaweza kuwa na tabia za kiume.

View attachment 1654983
Madhara ya kuongozwa na tour guider uchwara ndio hayo.
 
Nadhani ukishalipia ni lazima upewe mtu wa kukuzungusha, kumpa chochote ni kama ahsante tu sio lazima, kwa uzoefu wangu lakini,

Nilivyoenda mimi nilikua na crew ya foreigners nadhani tulilipa 10000 kila mmoja,

Yule aliyetutembeza alipata na yeye bakshishi yake.
Basi mie nilimpatia huko mtaani, a certified tour guide. Alinipeleka hotel pia. Kesho yake ndio kunizungusha Kaole, snake park na kwenye mamba.
 
Mtu utajuwaje kama umri umepungua au kuongezeka?😂😂
 
Elfu 3 tu. Ila inabidi uwe na mwongoza watalii ili akupatie simulizi mbalimbali za eneo hilo. Niliyekuwa naye alinizungusha sehemu kama 3. Mwisho nilimlipa elfu 20. Miaka 2 iliyopita.

Kuna kaburi pale inasemekana Mwl. Nyerere alilala pale akifanyiwa tambiko. Na baada ya tambiko, wazee wakamruhusu aende sasa Ulaya kudai uhuru.
Braza uliibiwa ulikutana na makanjanja...

Malipo ni tsh 2,000 na unapewa na tour guider kwa bei hiyo na anakuzungusha kote

Ukikutana na vishoka ndio wanakupiga bei halafu wao wanalipa pale huku wakisema wamekusaidia
 
Nadhani ukishalipia ni lazima upewe mtu wa kukuzungusha, kumpa chochote ni kama ahsante tu sio lazima, kwa uzoefu wangu lakini,

Nilivyoenda mimi nilikua na crew ya foreigners nadhani tulilipa 10000 kila mmoja,

Yule aliyetutembeza alipata na yeye bakshishi yake.
Malipo ni shilingi elf 2, na tour guider unapewa ukilipa zaidi umeibiwa
 
Mimi na Crew yangu tulifika hilo eneo tukapata habari zake, tukauzunguka mti huo mara 7, ilikua for fun hakuna mtu aliweka imani ya kinachoelezwa,

Pia kuna kisima hapo hapo Kaole wanasema kipo tangu karne ya mbali huko hakikauki maji pia hakina chumvi licha ya kua karibu na bahari, watu wana nawa na wengine wanakunywa maji yake kwa ajili ya kupata baraka.
Usinambie hujaona matokeo ya kuzunguka kwako?
 
Braza uliibiwa ulikutana na makanjanja...

Malipo ni tsh 2,000 na unapewa na tour guider kwa bei hiyo na anakuzungusha kote

Ukikutana na vishoka ndio wanakupiga bei halafu wao wanalipa pale huku wakisema wamekusaidia
Shilingi elfu 2 ni pesa ndogo sana jamani,
Wafanye elfu 5 angalau.
 
Back
Top Bottom