Baba vinka
Member
- Nov 28, 2020
- 8
- 1
Kwahiyo wanaume wa dar wanazungukaga huu mbuyu et😏
NikaushieUnajua nini?
kumbe ndo maaana🤔Mimi na Crew yangu tulifika hilo eneo tukapata habari zake, tukauzunguka mti huo mara 7, ilikua for fun hakuna mtu aliweka imani ya kinachoelezwa,
Pia kuna kisima hapo hapo Kaole wanasema kipo tangu karne ya mbali huko hakikauki maji pia hakina chumvi licha ya kua karibu na bahari, watu wana nawa na wengine wanakunywa maji yake kwa ajili ya kupata baraka.
[emoji23][emoji23]kumbe ndo maaana[emoji848]
Kuna mtu kakutia unyevu unyevu?Nikaushie
Nini?kumbe ndo maaana[emoji848]
Raia wa kigeni wana rates zao..kwa raia ni elf 2 tuhakuna malipo maalumu kwa foreigners?
Acha bangi mkuuMakumbusho ya Kaole, Bagamoyo yana mti aina ya mbuyu wenye miaka zaidi ya 500.
Mbali na kuwa na umri mkubwa, mti huu unaambatana na imani ambazo zilikuwa za watu wa eneo hilo.
Mti huu unasadikiwa kuwa unapozungukwa kushoto kwenda kulia mtu anaongeza umri wa kuishi na vinginevyo anapunguza umri wa kuishi.
Pia ukizungukwa zaidi ya mara saba hubadili jinsia, ambapo inasemekana kama mtu ni mwanaume anaanza kuwa na tabia za kike na wa kike anaweza kuwa na tabia za kiume.
View attachment 1654983
Au unaonaje mkuu? Hence proved😶[emoji23][emoji23]
najaribu kuconnect dots...Nini?
Kabisa kabisaAu unaonaje mkuu? Hence proved[emoji55]
Unahisi baada ya kupata taarifa akaenda kujaribu? Itakuwa hajabadilika mkuunajaribu kuconnect dots...
Fafanua...najaribu kuconnect dots...
Yule guide sikumkuta pale, bali nilitoka nae mtaani na alinizungusha sehemu tatu tofauti. Na shughuli ile tulianza siku 1 kabla. Yeye alinitafutia malazi pia. Kwenye maeneo ya utalii ndio tulikuwa tunalipa kiwango kinachotakiwa na risiti tunapewa. Na hayo malipo kwangu mie yalikuwa ni ya ukarimu zaidi kwa huduma aliyotoa.Braza uliibiwa ulikutana na makanjanja...
Malipo ni tsh 2,000 na unapewa na tour guider kwa bei hiyo na anakuzungusha kote
Ukikutana na vishoka ndio wanakupiga bei halafu wao wanalipa pale huku wakisema wamekusaidia
🤐Unahisi baada ya kupata taarifa akaenda kujaribu? Itakuwa hajabadilika mkuu
Hata sijaelewa lengo. Unataka ubadilike ili iweje sasa? Ridhika na jinsia uliyo nayo.Awamu Ya Tano Utasikia Mengi Sana
Hapa sasa nmeamini ni kweli siyo Uongo. Daaaahh...Mimi na Crew yangu tulifika hilo eneo tukapata habari zake, tukauzunguka mti huo mara 7, ilikua for fun hakuna mtu aliweka imani ya kinachoelezwa,
Pia kuna kisima hapo hapo Kaole wanasema kipo tangu karne ya mbali huko hakikauki maji pia hakina chumvi licha ya kua karibu na bahari, watu wana nawa na wengine wanakunywa maji yake kwa ajili ya kupata baraka.
Umeamini nini?Hapa sasa nmeamini ni kweli siyo Uongo. Daaaahh...