kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,239
Utamuona msichana mbichi kabisa mrembo nadhifu anatoka out na mtu mzima ambaye kimtazamo ni baba yake au babu yake kabisa, watu wanasema labda ni kwasababu gold digger na hawana mapenzi kwa hao watu wazima wengine wanasema ni kwa sababu ya pesa tu za hao watu wazima. Lakini kiukweli kuna kitu tofauti na mawazo ya watu wengi kwa hawa wadada kuwa na mahusiano na watu wazima na wala siyo sababu za pesa za hao watu wazima.
Kitu cha kwanza wasichana wengi wanapenda attention: Wanapenda mwanaume ambaye anaweza kuwajali (Pet them) kuwafanya wao the focus and centre of their lives. Watu wazima wana watreat wasichana namna hii tofauti na vijana wengi wafanyavyo.
Mtu mzima anajisikia proud sana kwa kuwa na msichana mbichi, na anajisikia very appreciative of what he has, kwa hiyo anamtreat with very much reverence. He will pay her all the attention she needs, and pet her, pmoja na kumtreat her kama malkia.
But a younger boyfriend will not give her all the attention or treat her the same way.
Mwana MMU mwenzangu, nakaribisha mawazo yako.