Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ebu tuwasubiri mabinti zetu watueleze kwa undani zaidi.
ila kwangu mimi naona hiyo ni laana kwa hawa mabinti,
kuuchungulia uchi wa baba yako / mama yako ni laana mbaya sana.
binafsi binti ninayemzidi zaidi ya miaka 15 siwezi hata kujenga mazoea naye, vile vile mamaa anayenizidi zaidi ya miaka 15 sitaki kabisa hata kumtania kuhusu mambo ya kikubwa.
Its true na vijana wengi siku hizi they're not mannered hata ukiona mavazi, na maongezi yao hayaoneshi kumjali huyo binti baadae lakini pia kwa kuwa vijana hawataki kufanya kazi mabinti wanaogopa kutegemewa kiuchumi baadae
hawana stress
they give us a lot of care
huwaombi bali wanakupa
they know how a woman means
they are financial stable as they dont have many responsibilities as paying rent,school fees
long live wazee
Ukimpata mtu mzima ataonesha care ya hali ya juu, wengi hawana mambo mengi. Pia hutuchukulia kama mtoto na folen sio kubwa. Pia hawachoshi mkiwa on ze bed. Wanapenda kusikilizwa zaid. Hiyo ndo habar.
Kuna rafiki ake cster angu mmoja hivi alikua chuo flan hivi hapa dar ila kwa sasa kesha olewa aisee kiukweli aliwahi admit kwamba alikua na uhusiano na waume za watu wengi hiyo care mnayoiita ni ya kifedha zaidi ila aliadmit pia hakuwahi mpenda huyo mbaba ni hela tu maana kimsingi mdingi huyo alikua hamridhishi kimoja tu mshua anahema juu juuUtamuona msichana mbichi kabisa mrembo nadhifu anatoka out na mtu mzima ambaye kimtazamo ni baba yake au babu yake kabisa, watu wanasema labda ni kwasababu gold digger na hawana mapenzi kwa hao watu wazima wengine wanasema ni kwa sababu ya pesa tu za hao watu wazima. Lakini kiukweli kuna kitu tofauti na mawazo ya watu wengi kwa hawa wadada kuwa na mahusiano na watu wazima na wala siyo sababu za pesa za hao watu wazima.
Kitu cha kwanza wasichana wengi wanapenda attention: Wanapenda mwanaume ambaye anaweza kuwajali (Pet them) kuwafanya wao the focus and centre of their lives. Watu wazima wana watreat wasichana namna hii tofauti na vijana wengi wafanyavyo.
Mtu mzima anajisikia proud sana kwa kuwa na msichana mbichi, na anajisikia very appreciative of what he has, kwa hiyo anamtreat with very much reverence. He will pay her all the attention she needs, and pet her, pmoja na kumtreat her kama malkia.
But a younger boyfriend will not give her all the attention or treat her the same way. Mwana MMU mwenzangu, nakaribisha mawazo yako.
We hutaki kukubali ukweli kwa kuwa umeshakua addicated na kutembea na wame za watu Period..huwezi kutembea na kumvulia nguo mtu mwenye umri na baba yako ukasema unahitaji attention?Attention is not something you can shop..attention is two way traffic.....
Utamuona msichana mbichi kabisa mrembo nadhifu anatoka out na mtu mzima ambaye kimtazamo ni baba yake au babu yake kabisa, watu wanasema labda ni kwasababu gold digger na hawana mapenzi kwa hao watu wazima wengine wanasema ni kwa sababu ya pesa tu za hao watu wazima. Lakini kiukweli kuna kitu tofauti na mawazo ya watu wengi kwa hawa wadada kuwa na mahusiano na watu wazima na wala siyo sababu za pesa za hao watu wazima.
Kitu cha kwanza wasichana wengi wanapenda attention: Wanapenda mwanaume ambaye anaweza kuwajali (Pet them) kuwafanya wao the focus and centre of their lives. Watu wazima wana watreat wasichana namna hii tofauti na vijana wengi wafanyavyo.
Mtu mzima anajisikia proud sana kwa kuwa na msichana mbichi, na anajisikia very appreciative of what he has, kwa hiyo anamtreat with very much reverence. He will pay her all the attention she needs, and pet her, pmoja na kumtreat her kama malkia.
But a younger boyfriend will not give her all the attention or treat her the same way. Mwana MMU mwenzangu, nakaribisha mawazo yako.
hata vijana wanatoa hiyo attention bana..
afadhali umeona hilo....
na ww ni mmoja wao?