mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
watu wazima au vijana
akina nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akina nani??
watu wazima au vijana
guess.....
aa bana..we nambie
i believe my posts can tell.....
acha wewe....mbona wanatoka na watu wazima wenye mshiko tu???ushaona yeyote anatoka na kibabu arosto????pesa inaonea hakuna kupet wala nini...........
Hawa vijana stress tupu
watu wazima hawanaga stress kabisa yani natreatiwa kitoto toto
hadi raha!!!!
hawana stress
they give us a lot of care
huwaombi bali wanakupa
they know how a woman means
they are financial stable as they dont have many responsibilities as paying rent,school fees
long live wazee
mkuu naona unaenda mbali sana! mfano rahisi ni jk na first lady wanatofauti ya 17 piaMandela kampita Graca Machel zaidi ya miaka 17 na dunia nzima ina appreciate uhusiano wao. wapenzi ya "kweli" hayajalishi umri.
Utamuona msichana mbichi kabisa mrembo nadhifu anatoka out na mtu mzima ambaye kimtazamo ni baba yake au babu yake kabisa, watu wanasema labda ni kwasababu gold digger na hawana mapenzi kwa hao watu wazima wengine wanasema ni kwa sababu ya pesa tu za hao watu wazima. Lakini kiukweli kuna kitu tofauti na mawazo ya watu wengi kwa hawa wadada kuwa na mahusiano na watu wazima na wala siyo sababu za pesa za hao watu wazima.
Kitu cha kwanza wasichana wengi wanapenda attention: Wanapenda mwanaume ambaye anaweza kuwajali (Pet them) kuwafanya wao the focus and centre of their lives. Watu wazima wana watreat wasichana namna hii tofauti na vijana wengi wafanyavyo.
Mtu mzima anajisikia proud sana kwa kuwa na msichana mbichi, na anajisikia very appreciative of what he has, kwa hiyo anamtreat with very much reverence. He will pay her all the attention she needs, and pet her, pmoja na kumtreat her kama malkia.
But a younger boyfriend will not give her all the attention or treat her the same way. Mwana MMU mwenzangu, nakaribisha mawazo yako.
Utamuona msichana mbichi kabisa mrembo nadhifu anatoka out na mtu mzima ambaye kimtazamo ni baba yake au babu yake kabisa, watu wanasema labda ni kwasababu gold digger na hawana mapenzi kwa hao watu wazima wengine wanasema ni kwa sababu ya pesa tu za hao watu wazima. Lakini kiukweli kuna kitu tofauti na mawazo ya watu wengi kwa hawa wadada kuwa na mahusiano na watu wazima na wala siyo sababu za pesa za hao watu wazima.
Kitu cha kwanza wasichana wengi wanapenda attention: Wanapenda mwanaume ambaye anaweza kuwajali (Pet them) kuwafanya wao the focus and centre of their lives. Watu wazima wana watreat wasichana namna hii tofauti na vijana wengi wafanyavyo.
Mtu mzima anajisikia proud sana kwa kuwa na msichana mbichi, na anajisikia very appreciative of what he has, kwa hiyo anamtreat with very much reverence. He will pay her all the attention she needs, and pet her, pmoja na kumtreat her kama malkia.
But a younger boyfriend will not give her all the attention or treat her the same way.
Mwana MMU mwenzangu, nakaribisha mawazo yako.
Mimi kuna mmama kanipita miaka 20 or more than that lakini alikuwa ananisarandia ile mbaya uzuri alikutana na descent man ,kwa hiyo sio madingi tu mbona hata wamama wapo kibaoebu tuwasubiri mabinti zetu watueleze kwa undani zaidi.
ila kwangu mimi naona hiyo ni laana kwa hawa mabinti,
kuuchungulia uchi wa baba yako / mama yako ni laana mbaya sana.
binafsi binti ninayemzidi zaidi ya miaka 15 siwezi hata kujenga mazoea naye, vile vile mamaa anayenizidi zaidi ya miaka 15 sitaki kabisa hata kumtania kuhusu mambo ya kikubwa.
Hapo swala ni hela tu. Kama watu wazima wanajua kucare sana kwann mabinti wasitoke na wazee ambao hawana mkwanja?!