Ujue ni kwa nini wasichana wanakuwa na mahusiano na watu wazima

Ujue ni kwa nini wasichana wanakuwa na mahusiano na watu wazima

Hii thread usiione hivi, members wengi ma'legend wanasoma post zote hapa na kupita bila kucomment.

Si kwamba ni wajinga...hapana! Wana maana yao! Na mimi mwenyewe ni lijendi hapa, kwahiyo sitaongea neno lingine hapa zaidi, lkn ntaendelea kusoma posts kama guest.

Si kwamba mimi ni mjinga!...Laa!
Haya, endeleeni!
 
Unajua tofauti kati ya Binti , Msichana na Mwanamke?
 
Jaribu kuchunguza hili; Binti anayempenda Baba Mtu mzima kwa Penzi la kweli (siyo kwa pesa wala zawadi).

Huyo Binti amezaliwa na Baba ambaye ni Mtu Mzima SANA. Fuatilia vizuri Electra Complex ya Freud.
 
Mandela kampita Graca Machel zaidi ya miaka 17 na dunia nzima ina appreciate uhusiano wao. wapenzi ya"kweli"hayajalishi umri.
Bila kuwasahau beyonce na jigga
Na hata kwenye biblia ksa cha abraham na wengne kibaooo
 
umalaya tu wa mabint wa siku hizi na kupenda vya bure, kama ni hivyo basi wasingekua na wengi akiwa na mtu mzima moja basi ila wanakua na watuwazima watatu au na kuendelea huku ana kavulana kengine
 
Yes,pesa utapewa!bt pia treatment,dah! Hadi unatamani angekuwa kijana....yaani kila utakachosema unasikilizwa!halafu coz he s proud kuwa na dogodogo hafanyi kosa kukupoteza so anaku treat km mtt

Live long papaaaz!!!!!!!!!!!
 
Unafahamu kuwa kamuacha nyumbani Mama yako?Unafahamu kuwa ana watoto wakike wa umri wako ambao wanastahili kutunzwa kwa hela unazoziomba kwa huyo mbaba?Shame

Grow up and make a lots of money you will know the real world
 
Waambie mama siku izi wamegundua kuchungulia chanel wakiona mdada upo safi ndio wanakutaka hata kama huna mvuto wanaangalia salalio kina kaka acheni kubweteka mkisubiria kuwa marioo

Pesa hukwenda kwa mwenye mapesa mingii
 
Hii thread usiione hivi, members wengi ma'legend wanasoma post zote hapa na kupita bila kucomment.
Si kwamba ni wajinga...hapana! Wana maana yao!
Na mimi mwenyewe ni lijendi hapa, kwahiyo sitaongea neno lingine hapa zaidi, lkn ntaendelea kusoma posts kama guest...Si kwamba mimi ni mjinga!...Laa!
Haya, endeleeni!

hhhhhhhhhhhhaaaaaaa!!!! na mimi naendelea kuwa msomaji nia ni kukuunga mkono.
 
that's not my tittle my tittle is platinum digger.
Gold is sound cheap shopping and LUKU.
But platinum it include a lot and its sound professional

wewe ni mkongo??maana kiingereza chako kama kiswahili chako......
Gold is sound cheap......GOLD SOUNDS CHEAP.......
But platinum it include a lot.....BUT PLATINUM INCLUDES A LOT.....

samahani lakini.......
 
Kiukweli tukiachilia mbali pesa,they do care a lot compare 2 vijana,huo ndo ukweli!

mbona hao mabinti wako na wazee wenye hela tu???vijana wana care kama hukupewa care labda u dont deserve it or u met a wrong guy........
 
naaam ankal. vipi umekikumbuka kile kibabu changu kilichotaka kuleta posa home halafu aunt AshaDii akakitiririsha??

Yeah! Mada ya vibabu najua usingekosa nikikumbuka kile cha kwako...lol ivi kiko wapi siku izi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom