[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humu utauwawa kwa sumu maana kila mtu ni daktari, nakusihi ujongee mpaka zahanati / kituo cha Afya / Hospitali iliyo karibu nawe vinginevyo utalishwa mpaka vibashite
Tumia mafuta ya break ni kiboko ya utangotango, ikishindwa hiyo hesabu kupona muujizaTafuta fundi wa magari akupemafuta ya break
Sijaelewa yaani mafuta ya break yanawekwa kwenye mwili wa binadamu?? AU unataniaTumia mafuta ya break ni kiboko ya utangotango, ikishindwa hiyo hesabu kupona muujiza
[emoji106]FACTTumia mafuta ya break ni kiboko ya utangotango, ikishindwa hiyo hesabu kupona muujiza
Mainly ingredient ni KetoconozaleKanunue Dezor cream upake
'Brakes' nadhani una maanisha hizi.Tafuta fundi wa magari akupe mafuta ya break
TobaaTafuta fundi wa magari akupe mafuta ya break
[emoji23][emoji23][emoji23]Humu utauwawa kwa sumu maana kila mtu ni daktari, nakusihi ujongee mpaka zahanati / kituo cha Afya / Hospitali iliyo karibu nawe vinginevyo utalishwa mpaka vibashite
tablet hapana zinaniharibiaga siku zanguFluconozole cream
Plus fulcanazole tablets
kwakweli[emoji23][emoji23]Angalia lakini usije pakwa Upupu na kulishwa nnya kwa sababu ya huo utango sjui ubogaboga....!! Hawashindwi hawa ....!!
Hahahh,, pole lkn..
Nmenunua Juzi napakaInaitwa Whitfield's ointment ila kwa ushauri zaid mwone daktar wako wa ngozi..
Nmenunua Juzi napaka
Habari za zenu wapendwa...
Nauliza nani anafahamu dawa ya Utango tango..?