Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Mwenye Shida atafuata Maelekezo
Hiyo dawa unatoa bure au kwa kuuza?

Kama ni kwa kuuza, unamlazimishaje mteja akufate badala ya kumtengenezea mazingira rafiki ya kupata huduma?

Hebu toa maelezo, dawa yako ni aina gani (miti shamba au hospital), je inatengenezwaje? Inapatikana wapi? Mawasiliano ya muuzaji vipi? Ofisi kama ipo itakuwa wapi?

Vinginevyo, endelea kutumia wewe Mkuu.
 
Naendelea kusisitiza Mwenye Shida atafuata maelekezo yangu. Tusipangiane namna ya kufanya Mambo.
Sina Ofisi , Mm sio Daktari , wala Sijihusishi na Maswala ya Uatabibu .
Maelezo yangu Juu yapo Clear .
Nilikua nasumbuliwa na Same Problem , nikasaidika Sasa Mwenye Kuhitaji hilo anipm nitampa maelezo .
Otherwise Wasio na Shida Hamna haja ya kucomment wala Kuja PM .
Hakalazimishwa mtu hapa.
 
asante
 
sawa kaa na dawa yako watu mna roho mbaya kama nini huelewi km saa hizi sina funguz badae nakuwa nayo ukiweka elimu hapa itasaidia mpaka wajukuu huna lolote hatutakii
 
sawa kaa na dawa yako watu m=naroho mbaya kama nini huelewi km saa hizi sina funguz badae nakuwa nayo ukiweka elimu hapa itasaidia mpaka wajukuu huna lolote hatutakii
Ka ugonjwa kenyewe kadogo mmba tumnyenyeke Mpka inbo au anashida na wake za watu weka hadharani like dis ugonjwa unasababishwa na tinia capities hao n aina ya fungus ambao wanaambukiza superficial Area mostly extrnded on neck right down to the trunk and back ss kinachotakiwa n kupa creams like cotrimazole cream nystatin creams ama better methods n kusaga cotromoxazole tabs unachanganya kwny mafuta mgando Kama bby care hizi ama totos then unapaka de same na iyo ya cream ya cotrimazole iyo n locally ila unapaka twice a day kila baada ya kuoga zipo madawa mengi local herbs Kama mafuta ya break na vitu kama ivoo

Unakuwa muwazi pm na inbo za nn kama hufanyi busness
 
Naendelea kusisitiza Mwenye Shida atafuata maelekezo yangu. Tusipangiane namna ya kufanya Mambo.
Sina Ofisi , Mm sio Daktari , wala Sijihusishi na Maswala ya Uatabibu .
Maelezo yangu Juu yapo Clear .
Nilikua nasumbuliwa na Same Problem , nikasaidika Sasa Mwenye Kuhitaji hilo anipm nitampa maelezo .
Otherwise Wasio na Shida Hamna haja ya kucomment wala Kuja PM .
Hakalazimishwa mtu hapa.
Kama jpm?
 
Hii tabia inanikumbusha utotoni kama unaweza kufanya kitu mfano kuruka sarakasi wenzako wakikwambia ruka basi tuone unawaambia kwa mapozi "Mi sijui bhana siwezi"
 
Hata Mafuta ya breki ni dawa nzuri saana mm imenisaidia na nilikuwa na mba hadi najiogopa
 
Nimesumbuliwa na Ugonjwa huo kwa mda Mrefu ., nilikua nashauriwa Kutumia Vitu vingi sana ila tatizo lilibaki. Hatimaye nimepata ufumbuzi , ndani ya Week tu Ngozi yangu Imerudi Mahala Pake.
Nadhani wengi mnaelewa ilivyo karaha kuupata huo Ugonjwa.
Ni PM kama Utahitaji Dawa Hiyo.
Nitakupataje swahiba ili nipate hiyo dawa yako?
 
Habari za jumapili wapendwa,naamini mko njema katika kumaliza weekend...

Niende direct kwenye mada kama heading inavyojieleza,.wiki iliyoisha nilipata mgeni hapa kwangu (ndugu) lakini Ana matatizo kwenye ngozi yani mba si mba,yani kama vipele vya mtu anayehisi baridi hivi(kwa mikononi) lakini mgongoni ana mba wa maduara hivi,nikamuuliza huko ulikotoka ulishamwona daktari akajibu ndio Na alipewa vidonge vya cku 30 vya fluconazole alivitumia Na wakati anaendelea kuvitumia anasema alipona kabisa mpaka alipo maliza dozi...

Sasa akasema baada ya mwezi mwingine(achia ule alio maliza dozi)akaona unamrudia tena Na akitoka kuoga Unaonekana sana na anakuwa mwenye kupauka hivi....

Jamanii, jf doctors nisaidieni Dawa haswa ni nn,au nimpeleke hospital kwa vipimo zaidi??...maana hadi mm najisikia vibaya Na kusisimkwa mwili Na cwezi kumwambia arudi kwasababu ya Hali yake,.ningependa apone maana hata yy anakuwa kama hajiamini.

Nawasilisha.

NB:cjampiga picha kwasababu Fulani..ila kwa maelezo hayo hope doctors mmenielewa..mbarikiwe.
 
Apake mafuta ya break
Hyo kitu haitasaidia kama tatizo limekua la mda mref, mm nlitumia lakn ckupona. Bt flucconazole ilkuja kunisaidia.sasa apo cjui inakuaje km hyo dawa imeshndwa kumsaidia
 
Nina dawa ya Mba ambayo mtumiaji asipopona huwa narudisha hela.

Mlete nimpe dawa hazitarudi ever. mumu kwani yuko mkoa gani mgonjwa?
 
Kama hutaweka picha ni ngumu kushauri, dermatological conditions zina differ, ila ajaribu ketoconazole shampoo na sodium citrate, anaoga na shampoo anakaa na lile povu mwilini kama dakika 15 then anajimwagia maji. Ana jikausha na taulo safi ndo anapaka sodium citrate. Kumbuka mba wengi huanzia kichwa kushuka chini ndo maana shampoo ni nzuri. Ketoconazole iliyo katazwa na serikali ni ya vidonge na sio shampoo. NB kama ana kunywa fluconazol ahakikishe anafanya mazoezi ili atoe jasho kwa kua mba hutokana na normal flora waliopo kwenye vinyelea vya ngozi. Nina T. Vesicolor miaka sasa ila hata nifanye nini lazima irudi, awe tayari kwa hilo pia. Cha mwisho mpime ukimwi.
 
Back
Top Bottom