Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Hiyo dawa unatoa bure au kwa kuuza?Mwenye Shida atafuata Maelekezo
Kama ni kwa kuuza, unamlazimishaje mteja akufate badala ya kumtengenezea mazingira rafiki ya kupata huduma?
Hebu toa maelezo, dawa yako ni aina gani (miti shamba au hospital), je inatengenezwaje? Inapatikana wapi? Mawasiliano ya muuzaji vipi? Ofisi kama ipo itakuwa wapi?
Vinginevyo, endelea kutumia wewe Mkuu.