Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

habari jamani.Nimetumia gentrisone lakin sion ahueni leo siku ya nne.Anaefaham dawa ya haraka ya kutibu mba usoni anisaidie
 
habari jamani.Nimetumia gentrisone lakin sion ahueni leo siku ya nne.Anaefaham dawa ya haraka ya kutibu mba usoni anisaidie
kama ni tatizo sugu muone daktari akuandikie corti steroid cream, uzuri wake inaondoa hilo tatizo mara moja lakini ubaya wake haifai kutumia muda mrefu, inafanya ngozi iwe nyepesi ukitumia muda mrefu.
 
Si tatizo sugu limeanza wiki iloisha
 
Mkuu, pole sana. Nunua dawa inaitwa Iodine tincture... Chukua pamba upake usoni usiku huu wakati wa kulala, ukiamka asubuhi, hao mba watakuwa historia... Endelea kupaka for the next three or four days... Angalizo, angalia dawa isiingie machoni...
 
Kama una apple cider vinegar iweke kiasi kwenye maji kisha nawia na uache maji yakaukie.
 
Jaribu kutumia Terbinafine tablet pamoja na terbinafine cream itarespond vzur
 
Jamana wanajamvi ninasumbuliwa sana na matango tango na nimetumia dawa Ila bado. Vipi ni dawa gani inaweza kuyamaliza kabisa yasionekani kabisa maana kila nikitibu yanaondoka kwa muda baadae yarudi tena. Msaada wenu please
 
Nimesumbuliwa na Ugonjwa huo kwa mda Mrefu ., nilikua nashauriwa Kutumia Vitu vingi sana ila tatizo lilibaki. Hatimaye nimepata ufumbuzi , ndani ya Week tu Ngozi yangu Imerudi Mahala Pake.
Nadhani wengi mnaelewa ilivyo karaha kuupata huo Ugonjwa.
Ni PM kama Utahitaji Dawa Hiyo.
 
we nawe si utujuze sote kwa faida yetu sote ukoje
 
Back
Top Bottom