Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Salaam wanajamii.

Nina matitizo ya kichwa kuwasha kwa muda mrefu sana(miaka 5). Nywele zikiwa ndefu ndio kichwa kinavyozidi kuwasha. muwasho huambatana na maumivu makali. Nikinyoa nywele afadhali hupatikana kidogo. Je huu ni ugonjwa gani? nini tiba yake?
Tafadhali mkuu kama umeishapata tiba nielekeze ulikoipata maana tatizo lako ni sawa na langu kwa 100%. Mimi nanyoa kila baada ya wiki mbili....nywele zikishaota tu ni shida, kichwa kinawasha ni balaa!
 
MBA au utangotango dawa yake niipi msaada jamani
 
Kama ni tatizo sugu fanya check up ya diabetis na HIV test. Mwili wa binadamu imeubwa na protection nzuri sana, fungus wanaosabisha utango tango na mba wanaweza kutokomezwa na pH inayotoka kwenye jasho. Kama immune level uko chini au damu inasukari ndiyo wanaendelea kukushambulia.
 
Ndio inaanza
 
Dawa ninayo ni locally made tena ya uhakika kabisa na inamaliza na ataumwa tena Mba katika maisha yake. Uzuri wa hii dawa mabadiliko ni ndani ya siku nne tu.

Na in case kama hatapona narudisha hela yake. Sema bahati mbaya upo Dsm ila kama ungekuwa mwanza ambapo ndipo ninapopatikana ungefurahia sana huduma zangu
Dawa ninayo ni locally made tena ya uhakika kabisa na inamaliza na ataumwa tena Mba katika maisha yake. Uzuri wa hii dawa mabadiliko ni ndani ya siku nne tu.

Na in case kama hatapona narudisha hela yake. Sema bahati mbaya upo Dsm ila kama ungekuwa mwanza ambapo ndipo ninapopatikana ungefurahia sana huduma zangu mkuu.
upo mwanza sehemu gani?. Na je ni lazima nije na mgonjwa?
 
hali itarudi kawaida ya kutosikia kutotapika na kichefuchefu kiswahili wewe kinakugonga nini? unatoka mji gani hapo Tanzania? Dawa unatakiwa utumie siku 3 au siku 7 sio siku moja. kuna dawa gani ukatumia siku 1 ukapona? Kama huelewi kwanini huulizi Maswali? umekatazwa usiulize kwani Maswali?
Tabibu wa jf wababe hao,ukikakaa vibaya unakula vibao
 
nimekuwa nikisumbuliwa na Huu ugonjwa Wa ngozi ,natokewa kama vibarango/utango tango /kama mba hivi hasa mikononi mpka umefika na usoni,nikipauka kidogo tu unaonekana,nipake nn jman au nitumie dawa gan uishe?
 
ungejaribu kuweka picha hivyo sio rahisi mtu kuelewa mkuu au ni matango tango
 
vipi kuhusu Mimi ninawashwa kichwa na pengine kunavumbi linatoka kichwani haijalishi nimetoka kuoga hyo nikichana nywele
 
Khali yangu kimwili so nzuri usiku mwili wangu unapata joto si kawaida pia ninaumwa umba joto likiwepo nawasha sehemu umba walipotanda nimetumia mafuta ya brake bila kupata tiba .naomba mwenye kujua dawa au tiba yake anisaidie kwa hili .
 
Pole.pakaa Alovera jelly ya asili usinunue dukani
 
Back
Top Bottom