Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

yeah hata hayo mafuta ya break yanasaidia halaf huo ugonjwa unaambukiza
Ni kweli kabisa,uvaaji wa nguo za mitumba kabla ya kufua,kuvaliana nguo,kutumia mataulo ya pamoja au uswahilini kwetu kutumia madodoki ya salfeti kuogea nyumba nzima na kulalia mashuka ya guest n.k husababisha pia.
 
uko sahihi kabisa
 
yeah hata hayo mafuta ya break yanasaidia halaf huo ugonjwa unaambukiza
Bwana bwana bwana... .. Haya mafuta ya break hayo, umenikumbusha kuna wakati nilikuwa sehemu moja hivi.... ...maji tuliyokuwa tunaoga hayakuwa salama, sasa baada ya kuoga yanaanza kuwasha maeneo fulani....utajikuna weeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]... ..matokeo yake nilitokwa ma-fung ya kufa ntu, nikaanza kutumia mafuta ya break ila yalichonifanya....mmh, wacha ninyamaze tu [emoji26]
 
pole jamani nahisi yalikuchoma choma mana yako na mtindo huo, ila ulipona??
 
Pona yangu ilikuja baada ya kumwona mtaalam akanipatia vidonge na tube, vinginevyo huenda sasa hivi ningekuwa nishatafunwa na makansa kwakweli..
hapo bora, unajua fangas kupona ni mtihani sana hasa hasa wakiwa maeneo nyeti mkuu yan wagumu balaa
 
Bwana bwana bwana... .. Haya mafuta ya break hayo, umenikumbusha kuna wakati nilikuwa sehemu moja hivi.... ...maji tuliyokuwa tunaoga hayakuwa salama, sasa baada ya kuoga yanaanza kuwasha maeneo fulani....utajikuna weeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]... ..matokeo yake nilitokwa ma-fung ya kufa ntu, nikaanza kutumia mafuta ya break ila yalichonifanya....mmh, wacha ninyamaze tu [emoji26]
Mchafuko wa damu wewe,mimi lile joto la dar lili ni attack nilirudi mkoani nimenenepa kwa kujikuna mafundo kila sehemu kwenye basi wananishangaa...

Wakati nikiwa dar nilichomwa sindano lakini wapi...

Nilivumilia hadi kwetu basi nikaenda pharmacy wakinipa dawa ya kuzuia muwasho na kuondoa mauvimbe fasta nikapona.

Vidonge vilikuwa vya kumeza.
 
Aisee..

Nikikuletea watu watu waliopita hilo eneo waje watoe shuhuda zao, utacheka sana
fangas wagum sana kupona yan yataka uhakikishe unatumia dawa as directed lakin heri ulipona hata huu wa mba unakua kama unaweka mabaka baka hivi kwenye ngoz na unasambaa balaa unaharibu hasa ngozi
 
Hizi infections ni tata sana zikiingia mwilini..
 
Khali yangu kimwili so nzuri usiku mwili wangu unapata joto si kawaida pia ninaumwa umba joto likiwepo nawasha sehemu umba walipotanda nimetumia mafuta ya brake bila kupata tiba .naomba mwenye kujua dawa au tiba yake anisaidie kwa hili .
Acha banaaa...mafuta ya break n dawa kumbe..
Hasa break IPI??.ya ndege,boat au meli
Kuwa muwaz usaidiwe
 
Back
Top Bottom