Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
yeah hata hayo mafuta ya break yanasaidia halaf huo ugonjwa unaambukizaYeah akiona matokeo sio mazuri acheck na hiyo natural alovera gelly ambayo wadau hapo juu wame suggest.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah hata hayo mafuta ya break yanasaidia halaf huo ugonjwa unaambukizaYeah akiona matokeo sio mazuri acheck na hiyo natural alovera gelly ambayo wadau hapo juu wame suggest.
Ni kweli kabisa,uvaaji wa nguo za mitumba kabla ya kufua,kuvaliana nguo,kutumia mataulo ya pamoja au uswahilini kwetu kutumia madodoki ya salfeti kuogea nyumba nzima na kulalia mashuka ya guest n.k husababisha pia.yeah hata hayo mafuta ya break yanasaidia halaf huo ugonjwa unaambukiza
uko sahihi kabisaNi kweli kabisa,uvaaji wa nguo za mitumba kabla ya kufua,kuvaliana nguo,kutumia mataulo ya pamoja au uswahilini kwetu kutumia madodoki ya salfeti kuogea nyumba nzima na kulalia mashuka ya guest n.k husababisha pia.
Bwana bwana bwana... .. Haya mafuta ya break hayo, umenikumbusha kuna wakati nilikuwa sehemu moja hivi.... ...maji tuliyokuwa tunaoga hayakuwa salama, sasa baada ya kuoga yanaanza kuwasha maeneo fulani....utajikuna weeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]... ..matokeo yake nilitokwa ma-fung ya kufa ntu, nikaanza kutumia mafuta ya break ila yalichonifanya....mmh, wacha ninyamaze tu [emoji26]yeah hata hayo mafuta ya break yanasaidia halaf huo ugonjwa unaambukiza
pole jamani nahisi yalikuchoma choma mana yako na mtindo huo, ila ulipona??Bwana bwana bwana... .. Haya mafuta ya break hayo, umenikumbusha kuna wakati nilikuwa sehemu moja hivi.... ...maji tuliyokuwa tunaoga hayakuwa salama, sasa baada ya kuoga yanaanza kuwasha maeneo fulani....utajikuna weeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]... ..matokeo yake nilitokwa ma-fung ya kufa ntu, nikaanza kutumia mafuta ya break ila yalichonifanya....mmh, wacha ninyamaze tu [emoji26]
Pona yangu ilikuja baada ya kumwona mtaalam akanipatia vidonge na tube, vinginevyo huenda sasa hivi ningekuwa nishatafunwa na makansa kwakweli..pole jamani nahisi yalikuchoma choma mana yako na mtindo huo, ila ulipona??
hapo bora, unajua fangas kupona ni mtihani sana hasa hasa wakiwa maeneo nyeti mkuu yan wagumu balaaPona yangu ilikuja baada ya kumwona mtaalam akanipatia vidonge na tube, vinginevyo huenda sasa hivi ningekuwa nishatafunwa na makansa kwakweli..
Yani kuna time wanawasha hadi dungu linaiva... Sitaki kukumbuka kwakweli [emoji3]hapo bora, unajua fangas kupona ni mtihani sana hasa hasa wakiwa maeneo nyeti mkuu yan wagumu balaa
Mchafuko wa damu wewe,mimi lile joto la dar lili ni attack nilirudi mkoani nimenenepa kwa kujikuna mafundo kila sehemu kwenye basi wananishangaa...Bwana bwana bwana... .. Haya mafuta ya break hayo, umenikumbusha kuna wakati nilikuwa sehemu moja hivi.... ...maji tuliyokuwa tunaoga hayakuwa salama, sasa baada ya kuoga yanaanza kuwasha maeneo fulani....utajikuna weeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]... ..matokeo yake nilitokwa ma-fung ya kufa ntu, nikaanza kutumia mafuta ya break ila yalichonifanya....mmh, wacha ninyamaze tu [emoji26]
Yani kuna time wanawasha hadi dungu linaiva... Sitaki kukumbuka kwakweli [emoji3]
Mchafuko wa damu wewe,mimi lile joto la dar lili ni attack nilirudi mkoani nimenenepa kwa kujikuna mafundo kila sehemu kwenye basi wananishangaa...
Wakati nikiwa dar nilichomwa sindano lakini wapi...
Nilivumilia hadi kwetu basi nikaenda pharmacy wakinipa dawa ya kuzuia muwasho na kuondoa mauvimbe fasta nikapona.
Vidonge vilikuwa vya kumeza.
Nikikuletea watu watu waliopita hilo eneo waje watoe shuhuda zao, utacheka sanaWallah ninecheka sana hahhahahahaahahaaa doh
fangas wagum sana kupona yan yataka uhakikishe unatumia dawa as directed lakin heri ulipona hata huu wa mba unakua kama unaweka mabaka baka hivi kwenye ngoz na unasambaa balaa unaharibu hasa ngoziNikikuletea watu watu waliopita hilo eneo waje watoe shuhuda zao, utacheka sana
Hizi infections ni tata sana zikiingia mwilini..fangas wagum sana kupona yan yataka uhakikishe unatumia dawa as directed lakin heri ulipona hata huu wa mba unakua kama unaweka mabaka baka hivi kwenye ngoz na unasambaa balaa unaharibu hasa ngozi
Acha banaaa...mafuta ya break n dawa kumbe..Khali yangu kimwili so nzuri usiku mwili wangu unapata joto si kawaida pia ninaumwa umba joto likiwepo nawasha sehemu umba walipotanda nimetumia mafuta ya brake bila kupata tiba .naomba mwenye kujua dawa au tiba yake anisaidie kwa hili .
ila sisi wanawake ndio inatumaliza kwa jins maumbile yetu yalivyoHizi infections ni tata sana zikiingia mwilini..
[emoji23]Afu niliandika break badala ya brake... Lugha za watu hizi waweza tukana pasi-kufahamu..Acha banaaa...mafuta ya break n dawa kumbe..
Hasa break IPI??.ya ndege,boat au meli
Kuwa muwaz usaidiwe
Acha uchokoz mkuu[emoji23]Afu niliandika break badala ya brake... Lugha za watu hizi waweza tukana pasi-kufahamu..
Yeah, nyie mko na risk kubwa ya kuwa infected kirahisiila sisi wanawake ndio inatumaliza kwa jins maumbile yetu yalivyo