Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Tafadhali mkuu kama umeishapata tiba nielekeze ulikoipata maana tatizo lako ni sawa na langu kwa 100%. Mimi nanyoa kila baada ya wiki mbili....nywele zikishaota tu ni shida, kichwa kinawasha ni balaa!
 
MBA au utangotango dawa yake niipi msaada jamani
 
Kama ni tatizo sugu fanya check up ya diabetis na HIV test. Mwili wa binadamu imeubwa na protection nzuri sana, fungus wanaosabisha utango tango na mba wanaweza kutokomezwa na pH inayotoka kwenye jasho. Kama immune level uko chini au damu inasukari ndiyo wanaendelea kukushambulia.
 
Ndio inaanza
 
 
Tabibu wa jf wababe hao,ukikakaa vibaya unakula vibao
 
nimekuwa nikisumbuliwa na Huu ugonjwa Wa ngozi ,natokewa kama vibarango/utango tango /kama mba hivi hasa mikononi mpka umefika na usoni,nikipauka kidogo tu unaonekana,nipake nn jman au nitumie dawa gan uishe?
 
ungejaribu kuweka picha hivyo sio rahisi mtu kuelewa mkuu au ni matango tango
 
vipi kuhusu Mimi ninawashwa kichwa na pengine kunavumbi linatoka kichwani haijalishi nimetoka kuoga hyo nikichana nywele
 
Khali yangu kimwili so nzuri usiku mwili wangu unapata joto si kawaida pia ninaumwa umba joto likiwepo nawasha sehemu umba walipotanda nimetumia mafuta ya brake bila kupata tiba .naomba mwenye kujua dawa au tiba yake anisaidie kwa hili .
 
Khali yangu kimwili so nzuri usiku mwili wangu unapata joto si kawaida pia ninaumwa umba joto likiwepo nawasha sehemu umba walipotanda nimetumia mafuta ya brake bila kupata tiba .naomba mwenye kujua dawa au tiba yake anisaidie kwa hili .
Pole.pakaa Alovera jelly ya asili usinunue dukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…