Dawa kiboko hii ,tumia hii Mkuu,ukipaka wiki moja tu inaishaPakaa mafuta ya breki
Kupakaa usoni mkuu sio hatari?Dawa kiboko hii ,tumia hii Mkuu,ukipaka wiki moja tu inaisha
havina kabisaKupakaa usoni mkuu sio hatari?
Tumia "Dawa ya mba" (anti-fungal lotion). Dawa yenyewe ni ya maji inarangi ya kijani ya kupaka sehemu iliathirika tu, inapatikana kwenye maduka ya dawa. Ila inauma balaa, ndio kiboko ya magonja yote ya ngozi inayotokana na fungal.Naombeni mnisaidie ma Dr.. nimekuwa nasubuliwa na mba usoni/ chini ya macho mwaka wa 10 huu. Nikienda hospital anapewa cream ila hainisaidii kwani tatizo baada ya muda linajirudi Tena. Nitafurahi km nitapata dawa ya kudumu.
Natanguliza shujrani
Hayana shida kabisa ,alafu mafuta ya siku hizi Sio makaliKupakaa usoni mkuu sio hatari?
Tumia "Dawa ya mba" (anti-fungal lotion). Dawa yenyewe ni ya maji inarangi ya kijani ya kupaka sehemu iliathirika tu, inapatikana kwenye maduka ya dawa. Ila inauma balaa, ndio kiboko ya magonja yote ya ngozi inayotokana na fungal.
Ni mafuta ya breki au crutch. Au ndo hayohayo?Pakaa mafuta ya breki
Pakaa mafuta ya breki
πππππππatakuwa hatembei
Ni muda mrefu sana nahangaika juu ya ugonjwa huu unaitwa utango tango,kama ni madawa nimetumia mengi sana,zipo za kunywa na zingne za kupaka lakin unapotea na kurudi tena.
Inawezekana ikawa ni ugonjwa wa kurithi,sababu katika familia kuanzia baba na watoto wote wa kiume tunaathirika na ugonjwa
Mm inabid nihangaike sana,sababu bado ni kijana na pia sehem zingne inatafsirika kama ni uchafu,na ni kweli inachangia sana kuondoa utanashati wa mtu.
Najua wapo wenye tatizo kama langu,sasa kwa aliefanikiwa kuliondoa kabisa,tusaidiane katika hili..