Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Naombeni mnisaidie ma Dr.. nimekuwa nasubuliwa na mba usoni/ chini ya macho mwaka wa 10 huu. Nikienda hospital anapewa cream ila hainisaidii kwani tatizo baada ya muda linajirudi Tena. Nitafurahi km nitapata dawa ya kudumu.

Natanguliza shujrani
 
Mimi zilitoka kichwani zikaja kwenye nyusi...hua zinakuja usoni na kupotea!
 
Naombeni mnisaidie ma Dr.. nimekuwa nasubuliwa na mba usoni/ chini ya macho mwaka wa 10 huu. Nikienda hospital anapewa cream ila hainisaidii kwani tatizo baada ya muda linajirudi Tena. Nitafurahi km nitapata dawa ya kudumu.

Natanguliza shujrani
Tumia "Dawa ya mba" (anti-fungal lotion). Dawa yenyewe ni ya maji inarangi ya kijani ya kupaka sehemu iliathirika tu, inapatikana kwenye maduka ya dawa. Ila inauma balaa, ndio kiboko ya magonja yote ya ngozi inayotokana na fungal.
 
I dawa ilini toa chozi siku ya kwanza
Tumia "Dawa ya mba" (anti-fungal lotion). Dawa yenyewe ni ya maji inarangi ya kijani ya kupaka sehemu iliathirika tu, inapatikana kwenye maduka ya dawa. Ila inauma balaa, ndio kiboko ya magonja yote ya ngozi inayotokana na fungal.
 
Hii hapa kiboko ya matatizo yote ya ngozi na nywele.


Mtafute Bi Zainab Tamim 0769302206
 
Ni muda mrefu sana nahangaika juu ya ugonjwa huu unaitwa utango tango, kama ni madawa nimetumia mengi sana, zipo za kunywa na zingine za kupaka lakini unapotea na kurudi tena.

Inawezekana ikawa ni ugonjwa wa kurithi, sababu katika familia kuanzia baba na watoto wote wa kiume tunaathirika na ugonjwa

Mimi inabidi nihangaike sana,sababu bado ni kijana na pia sehemu zingine inatafsirika kama ni uchafu,na ni kweli inachangia sana kuondoa utanashati wa mtu.

Najua wapo wenye tatizo kama langu, sasa kwa aliefanikiwa kuliondoa kabisa, tusaidiane katika hili..
 
Nunua Sabuni Inaitwa Tetmosal Hiyo Utakuwa Unaogea Na Kupaka Povu Lake. Muda Wa Week Utapata Matokeo
 
Hizi antifungal creams zitakusumbua sana, tafuta mafuta ya break, pals ukimaliza kuoga asubuhi na jioni. Watakosa hewa mwisho wanakufa kabisa.

Matibabu ya fungal infection ni ya tararibu sana, endelea kupaka mafuta kwa miezi mitatu hata kama umepotea.

Kula matunda kwa wengi, natural immune system ikiwa nzuri itakulinda kwa siku za mbele. Oga mara mbili kwa siku na jitahidi usirudie nguo na usivaliane nguo na wengine.
Shuka fua kila weekend.
 
Ni muda mrefu sana nahangaika juu ya ugonjwa huu unaitwa utango tango,kama ni madawa nimetumia mengi sana,zipo za kunywa na zingne za kupaka lakin unapotea na kurudi tena.

Inawezekana ikawa ni ugonjwa wa kurithi,sababu katika familia kuanzia baba na watoto wote wa kiume tunaathirika na ugonjwa

Mm inabid nihangaike sana,sababu bado ni kijana na pia sehem zingne inatafsirika kama ni uchafu,na ni kweli inachangia sana kuondoa utanashati wa mtu.

Najua wapo wenye tatizo kama langu,sasa kwa aliefanikiwa kuliondoa kabisa,tusaidiane katika hili..


Makosa wanayofanya kwenye matibabu ya fangasi:

1. Kutumia dawa kwa mfupi na kuacha baada ya dalili kuisha; wakati mizizi ya fangasi bado ipo ndani

2. Kutibu fangasi wa eneo moja na kuacha maeneo mengine. Mara nyingi fangasi wa usoni au kwenye pumbu hutoka miguuni katikati ya vidole lakini watu husahau kuwatibu hivyo hujikuta fangasi wamerudi

3. Kutoshughurika na vitu vinavyochangia upate fangasi kwa urahisi mfano: unene kupitiliza, kisukari, kutokwa jasho kupita kiasi, kulala na jasho, upungufu wa kinga

4. Ukitibiwa fangasi wa mwilini; tibu na vitu ulivyokuwa unavitumia wakati una fangasi kama taulo, nguo za ndani au viatu kwa kutumia detol au antiseptic yoyote yenye nguvu

5. Kuendelea na tabia ya kuchangia mataulo, nguo, kutembea peku kwenye maeneo yenye unyevu hasa bafuni huwa kuna pores wengi wa fangasi.

Hii ni kwa ufupi.
 
Back
Top Bottom