Ujue ukweli kuhusu kitita kipya cha huduma cha NHIF

Vipi kuhusu ela ya top up. Maana maelezo yaliyotolewa na wadau wa afya, wanadai kwamba kilichofanyika ni kwamba NHIF wamepunguza malipo waliyokuwa wanamlipia mgonjwa hivyo yeye itabdi kuingia mfukoni kutop up hiyo difference.
Unazungumziaje kuhusu jambo hili? Na kama ni kweli mbona NHIF haijaelewesha wananchi.
 
Propaganda hizi
 
1: Ulishawahi kuendesha/kusimamia hata kliniki ya mtaa au kituo chochote cha afya?

2: Uliendesha/kusimama kwa muda gani?

3: Kinaitwaje?

4: Kiko wapi?

5: Kinalipa kodi zote?

Au umepewa ujumbe tu U-PUSH??
Chief achana nao hawa hawajui machungu Tunayopitia, Sema Mimi wananitia Hasira sana natamani Mjadala wa wazi na yeyeto anayetetea haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…