Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

kama marekebisho makubwa ni rangi, kutokana na mvua na jua vip mtu akitumia pvc wallpaper kwenye ukuta wa nje?
Ndugu nyumba yoyoyt ile hata hizi za bati juu.repairinge kukarabat ni kawaida.ni kukosa hela tu ila inapaswa kila December unaita mafund wanapiga msasa unapiga rang tena ndan na nje na kutoa vilivyokufa.ukifanya hivyo nyumba miaka yote itakua mpya. Pvc wall paper ya nin gharama hizo.wewe skim piga alkali primer piga rang yako weather gurd. Una hela piga conmix piga moya shield water repeleent piga rang mzee
 
Ni kweli nyumba yangu iko na 2 years ila ni kama gofu now
unadhan ni kwanini imekua hivyo? Kama ingetokea ndio unaanza ujenzi ungerekebisha vitu gan? Pole mkuu Ila inabid tujifunze kitu toka kwako
 
Ndugu nyumba yoyoyt ile hata hizi za bati juu.repairinge kukarabat ni kawaida.ni kukosa hela tu ila inapaswa kila December unaita mafund wanapiga msasa unapiga rang tena ndan na nje na kutoa vilivyokufa.ukifanya hivyo nyumba miaka yote itakua mpya. Pvc wall paper ya nin gharama hizo.wewe skim piga alkali primer piga rang yako weather gurd. Una hela piga conmix piga moya shield water repeleent piga rang mzee
Hakika mkuu,,

Nyumba ni matunzo.

Hata nyumba iwe nzr vipi bila kuifanyia repairs Kila wakati itachoka tu.
 
leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house

Contemporary house
Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu

Endapo mtu atajenga contemporary house ataokoa gharama kwenye kupaua kwani huingia bati chache tofauti na nyumba ya kupaua na kama ulipanga kupaua kutumia bati aina ya kigae basi utaokoa gharama kubwa

Lakini watu wasichojua ni kuwa contemporary wasanifu wake wanaoweza kuijenga kwa ufasaha na kupaua ipasavyo ni wachache ivyo inakubidi uwe makini usitafute fundi mradi fundi ila tafuta fundi mwenye weledi

Kwani ukipata fundi asiyejulia ndo linatokea tatizo la kuvuja

Kingine nyumba hii inatakiwa nje utumie cement kali mno kupiga plasta kwakuwa ukuta unapigwa na jua na mvua straight pia utumie gundi kuskim na rangi yenye quality isiyovurugwa haraka na vitu tajwa apo juu

Ni nyumba ambayo inatakiwa iwe inafanyiwa marekebisho ya mara kwa mara yani mfano kila baada ya miaka miwili inatakiwa ubadilishe rangi na vitu vidogovidogo ambavyo huwa vinaathirika na jua na mvua kwa haraka

Hii nyumba sio nyumba ya rahisi kama inavyotafsiriwa inaweza ikawa na gharama kubwa kuliko ata iliyopauliwa kwa maana ya kimuundo na material husika

Ukiamua kujenga jenga kwakuwa unaipenda na usijenge kwa kukimbia gharama hutopata kile kinachostahili

Kwa mahitaji ya Ramani zilizopo tayari/ Kutengenezewa Ramani unayohitaji Tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp

View attachment 2214086
Kwanza inabidi ujue Contemporary Design style ,siyo lazima paa rijifiche...

Pili hiyo picha uliyoweka ina mjumuiko wa elements za Classics Greek styles (columns hizo) na Modern Architecture na kuna urembo wa Mediterranean style(kwenye parapet hapo)....
 
Back
Top Bottom