Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

kama marekebisho makubwa ni rangi, kutokana na mvua na jua vip mtu akitumia pvc wallpaper kwenye ukuta wa nje?
Ndugu nyumba yoyoyt ile hata hizi za bati juu.repairinge kukarabat ni kawaida.ni kukosa hela tu ila inapaswa kila December unaita mafund wanapiga msasa unapiga rang tena ndan na nje na kutoa vilivyokufa.ukifanya hivyo nyumba miaka yote itakua mpya. Pvc wall paper ya nin gharama hizo.wewe skim piga alkali primer piga rang yako weather gurd. Una hela piga conmix piga moya shield water repeleent piga rang mzee
 
Ni kweli nyumba yangu iko na 2 years ila ni kama gofu now
unadhan ni kwanini imekua hivyo? Kama ingetokea ndio unaanza ujenzi ungerekebisha vitu gan? Pole mkuu Ila inabid tujifunze kitu toka kwako
 
Hakika mkuu,,

Nyumba ni matunzo.

Hata nyumba iwe nzr vipi bila kuifanyia repairs Kila wakati itachoka tu.
 
Kwanza inabidi ujue Contemporary Design style ,siyo lazima paa rijifiche...

Pili hiyo picha uliyoweka ina mjumuiko wa elements za Classics Greek styles (columns hizo) na Modern Architecture na kuna urembo wa Mediterranean style(kwenye parapet hapo)....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…