Ujue usanii wa bondia Floyd Mayweather katika pambano lake na Connor McGregory

Unajua skuelew point yako,..?kwahyo kama angekuepo au asingekuepo kipind cha tyson?ndo iweje sasa,ni sawa na useme,daah maguful angekuepo kipind cha nyerere,asingeskika,..bogus kabsa..yan sjakuelewa kabsa,sasa ulitaka floyd asiwepo au ulitakaje,asipigane,yaan wabongo mna wivu wa kise.nge,..kila kitu kina zama zake,..zama ya tyson ilipita,hii ni zama ya floyd,na atakuja mwingne n the circle continues
 
kukuekea point uelewe zaidi
-mayweather si bondia pekee ambaye hajapigwa kuna mabondia zaidi ya 10 ambao hawajapigwa

-kwa sababu ya media za marekani siku hizi uzito wa kati una mashabiki kuliko uzito wa juu, mfano ni huo wa calzaghe kipindi chake hajapigwa kama floyd ila sababu kulikuwa na mabingwa wa juu maarufu wenye soko marekani yeye hakuwa maarufu (tyson, evander etc)

-floyd angekuwa enzi za tyson japo wasingepigana ila tyson angekuwa maarufu zaidi na floyd asingesemwa sana sababu still tyson ni mmarekani na ni uzito wa juu.

-japo si ulinganisho sawa uzito wa juu ni kama kwenye mpira unasema ligi daraja la kwanza na uzito wa kati ndio daraja la pili, huoni maajabu watu hawapendi ligi ya juu wanapenda ligi ya chini? unapata picha gani anthony joshua au vital na wladmir wangekuwa wamarekani?
 
Sawa,..so kwahyo wew kwako boxing ni heavy weights peke yake regardless ya utamu wake mtu mwingne akija?..usikariri bro,boxing ni sport kama ilivyo sport nyingne,inategemea utam ukowap,na huwez wapangia watu wapende kipi,..ni sawa useme,angekuepo jet li kipind cha bruce li bas jet li asingeskika,usifananishe hivyo.
 
kitu gani kinasababisha utamu? ushabiki na media ndio unaleta huu utamu, jamaa hapo juu amefurahi anasema mcgregor alikuwa anajisifu sana na kuongea, anafurahia floyd amempiga, huo ni utamu wake.

je huyo jamaa angekuwa kama mtoa mada na kuushtukia usanii ina maana angeelewa toka mwanzo hapa hakuna kitu, mtu maisha yake yote anacheza vipambano vifupi vifupi ghafla bin vuu atawezaje kulast round 12? sio playstation hii.

kwangu mimi nitaendelea kuikubali heavyweight zaidi na kuirate middle chini bila kujali media sababu huo ndio ukweli heavyweight ni tamu zaidi. ndio maana unaona dramatic win zote zinatokea huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…