Ujue usanii wa bondia Floyd Mayweather katika pambano lake na Connor McGregory

Ujue usanii wa bondia Floyd Mayweather katika pambano lake na Connor McGregory

Kama kweli angekuwa ana maumivu ya bega aliwezejaje kunyoosha punches vile?

Mayweather won the fight against Pacquiao fair and square. Mayweather is not a fighter but rather a Boxer, defensive, calculating, smart boxer. Most of the time he fight on backfoot, meaning he always going back until he saw you are weak, tired and then he strike, finish you off. He is not somebody who is exciting, powerful or finish people on first round.

He is not like Mike Tyson, Muhammad Ali, or Gennady Golovkin, He more like Lennox Lewis and Andre Ward, smart and bid his time until he see opportunity and then take it.
 
Tofauti yangu na ww, wewe kwenye boxing unajua Mayweather tu vingine hujui, akati mwenzako kwenye MMA nafatilia WWE nafatilia nk
mimi takataka nyingine hizo sizijui na wala sizifuatilii.

Sijui chochote kuhusu MMA, wala huo mchezo wa watoto WWE.

Lakini boxing naijua inside out.

Halafu kingine, mimi simuigi Mayweather, mimi nacheza Southpaw, Mayweather yeye ni orthodox.
 
Mayweather won the fight against Pacquiao fair and square. Mayweather is not a fighter but rather a Boxer, defensive, calculating, smart boxer. Most of the time he fight on backfoot, meaning he always going back until he saw you are weak, tired and then he strike, finish you off. He is not somebody who is exciting, powerful or finish people on first round.

He is not like Mike Tyson, Muhammad Ali, or Gennady Golovkin, He more like Lennox Lewis and Andre Ward, smart and bid his time until he see opportunity and take it.
Mkuu, wasiojua ngumi kama hako katoto kanachojiita Kanye 2016 ndio huwa wanasema Pac ameshinda lakini tunaojua ngumi tuna amini Floyd sio kashinda tu bali ilikuwa bado kidogo ampige kwa knockout Pac sema kilichomsaidia Pac ni mazoezi magumu sana na ukakamavu aliojijengea kabla ya kupanda ulingoni.
 
Nisaidieni mda sahihi wa huu mpambano nisije nikakesha bila faida halafu mechi ikaja kuoneshwa saa 2 asbh!

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Mkuu, wasiojua ngumi kama hako katoto kanachojiita Kanye 2016 ndio huwa wanasema Pac ameshinda lakini tunaojua ngumi tuna amini Floyd sio kashinda tu bali ilikuwa bado kidogo ampige kwa knockout Pac sema kilichomsaidia Pac ni mazoezi magumu sana na ukakamavu aliojijengea kabla ya kupanda ulingoni.

Mkuu, watu wengi wanafikiri ni mjinga , lakini siyo mjinga kabisa. Anatumia all media (social media, press, Tv, internet) kutengeneza pesa. He is very smart guy, ametengeneza pesa kuliko any boxer / fighter in the world. Yaani watu wanachanganya anavyofanya publicity with real businessman. Halafu anasaidia watu wengi (charity work, gym etc).
 
Mkuu, watu wengi wanafikiri ni mjinga , lakini siyo mjinga kabisa. Anatumia all media (socially, press, Tv, internet) kutengeneza pesa. He is very smart guy, ametengeneza pesa kuliko any boxer / fighter in the world. Yaani watu wanachanganya anavyofanya publicity with real businessman. Halafu anasaidia watu wengi (charity work, gym etc).
Halafu watu wanachoshindwa kumuelewa Floyd ni kwamba, Floyd anachukulia ngumi kama michezo mingine na kama pia biashara zingine na ndio maana mara nyingi anacheza kufata sheria zote za boxing na kujitahidi kupiga sehemu zitakazo mpa points nyingi huwa hachezi na mashabiki kamwe na ndio maana hajipigii pigii hovyo bali anakupiga kimpangilio kitu ambacho mashabiki wengi wanamuona kama hakati kiu yao.


Halafu sidhani boxing kama ni kitu anachokipenda zaidi Floyd ndio maana humkuti akipost post hovyo masuala ya ngumi, yeye mara kwa mara anapost vitu Insta Gram vikimuonesha yupo batani tu akijivinjari na vimwana.

Ukitaka kuamini zaidi ngoja pambano lake dhidi ya Conor liishe halafu akabidhiwe pesa zake halafu uone ataongoza kupost picha zipi


Floyd mara kwa mara ana tabia ya kuwachukua malaya wamfurahishe baada ya kazi ngumu ya ulingoni, na hata akipost vitu vinavyohusu ngumi baada ya siku mbili lazima avifute.
 
fe39923f78a060cc202b3ee3e62c4168.jpg


Mimi nimeona hvo haisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2017-08-26-19-35-05.png
    Screenshot_2017-08-26-19-35-05.png
    20.4 KB · Views: 35
Haujui ngumi.ngumi za akina tyson utazifananisha na za akina mayweather.mwenye matokeo ya kupangwa?anayechezea kumi kwa njaa zake.utachekwa.
Hawa jamaa wanashusha heshima ya ngumi.wenzio wapo kibiashara.ndo maana wakaliita MONEY FIGHT.

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya hiyo ndiyo inayotuponza watanzania na wivu.
 
Mimi karata yangu iko kwa Floyd sema jamaa anaweza kuwa amebet so chochote kinaweza kutokea
 
Na mbaya zaidi mayweather mwenyewe ndo promoter kupitia mayweather promotion,kwahiyo lazima amsifie jamaa lakini ukweli ni kwamba jamaa atakaa mapema tu.ni mtazamo wangu wapenzi wa ngumi mnaweza mkaongeza vitu hapa
Kaka hii dunia sasa hivi kila kitu fake tu, Mayweather ana uhakika apigwe apige ila $100m inaingia kwenye akaunti yake benki.
Huyu "white trash" ana uhakika wa $30m, naye apige au apigwe!
Fake fake fake...
Ni utapeli, ila wamewapata watu...
 
Back
Top Bottom