Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Wewe kweli Punguani, kama Pacquaio asingefikisha hata raundi tano kwa nn sasa Mayweather alikataa kupigana naye? akaweka vikwazo kibaaaao mara ela mara apimwe mkojo kila muda, na watu wote walijua mayweather alikuwa anaogopa kupewa kichapo maana Pacman alikuwa moto sanaWewe kweli zwazwa, yaani una mfananisha Floyd wa 2010 na Pacquiao wa 2010???
Floyd wa 2010 Pacquiao asingefikisha hata round tano, Floyd alikuwa na kasi balaaa, anarusha makonde ya maana.
Embu tafuta mapambano ya Floyd ya miaka hiyo halafu angalia ya Pacquiao halafu leta mrejesho.
Halafu unataka kudanganya watu kwamba Floyd hajapigana na boxers hatari, nahisi akili yako haipo sawa,
Asilimia kubwa ya Boxers waliopigana na Pacquiao Floyd pia amepigana nao, na hata bondia awe moto kiasi gani akipigana na Floyd anaonekana ni dhaifu sana.
Muangalie bondia kama Canelo Alvarez amepambana mapambano 51 kashinda 49 katoa sare moja na amepigwa moja na Floyd Mayweather.
Alipopigana na Mayweather alionekana bondia dhaifu sana, alipigwa kirahisi sana lakini akikutana na wengine anaonekana moto wa kuotea mbali.
Halafu ww ndo uangalie mapamabno ya kipindi hicho ya Pacman ndo utaelewa kwa nn Maywether alikataaa kupigana nae
kama ilivyokuwa kwa maidana na Canelo ilikuwa hivyo hivyo Mayweather alipigwa fair and square sema figisu tu za majaji hata mabondia hao walilalamika, Halafu mpaka leo Mayweather hataki kurudiana na Canelo nadhani tulioona pambano la kwanza tunajua why.