Ujue usanii wa bondia Floyd Mayweather katika pambano lake na Connor McGregory

Wewe kweli zwazwa, yaani una mfananisha Floyd wa 2010 na Pacquiao wa 2010???

Floyd wa 2010 Pacquiao asingefikisha hata round tano, Floyd alikuwa na kasi balaaa, anarusha makonde ya maana.

Embu tafuta mapambano ya Floyd ya miaka hiyo halafu angalia ya Pacquiao halafu leta mrejesho.

Halafu unataka kudanganya watu kwamba Floyd hajapigana na boxers hatari, nahisi akili yako haipo sawa,

Asilimia kubwa ya Boxers waliopigana na Pacquiao Floyd pia amepigana nao, na hata bondia awe moto kiasi gani akipigana na Floyd anaonekana ni dhaifu sana.

Muangalie bondia kama Canelo Alvarez amepambana mapambano 51 kashinda 49 katoa sare moja na amepigwa moja na Floyd Mayweather.

Alipopigana na Mayweather alionekana bondia dhaifu sana, alipigwa kirahisi sana lakini akikutana na wengine anaonekana moto wa kuotea mbali.
Wewe kweli Punguani, kama Pacquaio asingefikisha hata raundi tano kwa nn sasa Mayweather alikataa kupigana naye? akaweka vikwazo kibaaaao mara ela mara apimwe mkojo kila muda, na watu wote walijua mayweather alikuwa anaogopa kupewa kichapo maana Pacman alikuwa moto sana

Halafu ww ndo uangalie mapamabno ya kipindi hicho ya Pacman ndo utaelewa kwa nn Maywether alikataaa kupigana nae

kama ilivyokuwa kwa maidana na Canelo ilikuwa hivyo hivyo Mayweather alipigwa fair and square sema figisu tu za majaji hata mabondia hao walilalamika, Halafu mpaka leo Mayweather hataki kurudiana na Canelo nadhani tulioona pambano la kwanza tunajua why.
 
Duh wewe kweli boxing hujui unasumuliwa. Hata kocha wa Canelo alimsifu Mayweather nakumshangaa jaji mmoja kumpa Canelo point zaidi.Its on video. Canelo was outclassed. Aliyezuia Pacquiao kupigana na Mayweather ni promota wake Pacquiao anaeitwa Bob Arum (Top Rank Promotion). Promoter was Mayweather ni MAyweather mwenyewe
(Bob Arum aliwahi kuwa promota wa Mayweather lakini Mayweather akajitoa kwa kumlipa $750,000)

Bod Arum alitaka share kubwa ya pambano vs Mayweather wakati Mayweather ndio 'the bigger' boxer. Walivyoshindwana Bob Arum akatengeneza mazingira ya Mayweather kuoneka anaogopa ili Mayweather alazimike kukubali terms zake watu wasimuone muoga lakini Mayweather akasimama kidete kuhusu mgawanyo wa hela. Vitu kama vipimo ni sawa tu kwa sababu watu wengine wanatumia madawa. The big issue was money lakini Mayweather anajitambua kwenye swala la biashara ya boxing. Ni pale MAyweather na Pacquiao walivyoweza kuongea moja kwa moja ndio pambano likawezekana.
 
Haujui unachokiongea wewe.

Huyo Canelo na mashabiki wake wana dai kuwa Floyd alimtandika kirahisi Canelo kwa sababu Canelo hakuwa na uzoefu.

Ndio maana siku hizi wanang 'ang' ania sana kabla Floyd hajastafu apande azipige mara ya mwisho na Canelo.

Halafu sio kweli kwamba eti Floyd anawaogopa watu hasa hicho ki Pacquiao

Wengi wanajisifu sana kwamba wanaweza kumpiga Floyd na wanataka mechi naye, sasa hapo amchague yupi amuache yupi?

Yeye kikubwa anachokifanya Floyd ni kuangalia pesa kwanza kama ipo ya kuridhisha anapanda ulingoni.

Na ilibidi astafu ngumi mapema sana kabla hata ya pambano na Marcos Maidana, sema kila akitaka kustafu kuna kijitu kinakuja pamoja na wadhamini wanatangaza dau nono, Floyd anarudi tena uwanjani.

Na hata baada ya pambano na Conor usishangae akarudi tena uwanjani kuzichapa na mwingine ikiwa pesa itawekwa ya kutosha.
 
Inaonyesha uko karibu sana na May weather Jr. Hongera sana siku moja utaja kuwa bondia unaejua ngumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ukweli.

Pacquiao ni bondia mdogo sana kwa Floyd, hakumpa changamoto kabisa,

Pacquiao karusha ngumi nyingi ila nyingi zimeishi hewani hazikufika mahala husika, Floyd karusha ngumi chache ila karibia zote zimefika sehemu husika.
 
halafu hawa mabondia wetu mi huwa nawashangaa sana utasikia wanajiita mabingwa wa dunia,hivi wanaifahamu dunia kweli,kumbe wanaenda kujichukulia wahindi pori huko
Japhet Kaseba alijiita bingwa wa mabara kwa kuwapiga kanjibhai wake kutoka mafichoni
 
Haujui unachokiongea wewe.

Huyo Canelo na mashabiki wake wana dai kuwa Floyd alimtandika kirahisi Canelo kwa sababu Canelo hakuwa na uzoefu.

Ndio maana siku hizi wanang 'ang' ania sana kabla Floyd hajastafu apande azipige mara ya mwisho na Canelo.

Halafu sio kweli kwamba eti Floyd anawaogopa watu hasa hicho ki Pacquiao

Wengi wanajisifu sana kwamba wanaweza kumpiga Floyd na wanataka mechi naye, sasa hapo amchague yupi amuache yupi?

Yeye kikubwa anachokifanya Floyd ni kuangalia pesa kwanza kama ipo ya kuridhisha anapanda ulingoni.

Na ilibidi astafu ngumi mapema sana kabla hata ya pambano na Marcos Maidana, sema kila akitaka kustafu kuna kijitu kinakuja pamoja na wadhamini wanatangaza dau nono, Floyd anarudi tena uwanjani.

Na hata baada ya pambano na Conor usishangae akarudi tena uwanjani kuzichapa na mwingine ikiwa pesa itawekwa ya kutosha.
kwa mtu aliyeangalia pambano lile la Pacquaio aliona kazi yake halafu mtu ambaye alienda kupigana huku akiwa na injury ya mkono huwezi kumfananisha na Mayweather wenu huyu, kama kidume kweli Mayweather angemuangusha Pacman mapema lakini wapi, wameenda raundi mpka ya mwisho halafu unasema hakuna mtu kama Myaweather g'm a break nigga.
 
Duh wewe kweli boxing hujui unasumuliwa. Hata kocha wa Canelo alimsifu Mayweather nakumshangaa jaji mmoja kumpa Canelo point zaidi.Its on video. Canelo was outclassed. Aliyezuia Pacquiao kupigana na Mayweather ni promota wake Pacquiao anaeitwa Bob Arum (Top Rank Promotion). Promoter was Mayweather ni MAyweather mwenyewe
(Bob Arum aliwahi kuwa promota wa Mayweather lakini Mayweather akajitoa kwa kumlipa $750,000)

Bod Arum alitaka share kubwa ya pambano vs Mayweather wakati Mayweather ndio 'the bigger' boxer. Walivyoshindwana Bob Arum akatengeneza mazingira ya Mayweather kuoneka anaogopa ili Mayweather alazimike kukubali terms zake watu wasimuone muoga lakini Mayweather akasimama kidete kuhusu mgawanyo wa hela. Vitu kama vipimo ni sawa tu kwa sababu watu wengine wanatumia madawa. The big issue was money lakini Mayweather anajitambua kwenye swala la biashara ya boxing. Ni pale MAyweather na Pacquiao walivyoweza kuongea moja kwa moja ndio pambano likawezekana.
Kigezo kimoja wapo cha Mayweather kushindwa kupigana na Pacman 2010 ni mayweather alikuwa hataki Bob Arum awepo kwenye mazungumzo, ukiachilia uoga wake wengine wakutaka Pacman apimwe mkojo kila muda hilo pia lilihusika. Hata walivyopigana hivi majuzi pia alikuwa hataki Bob arum awepo lakini alichemka kumuondoa.

Hata kwenye mpira tuzo akipewa messi lazima ronaldo amsifie na kumpa hongera hvyo hivyo akipewa Ronaldo messi huwa anamtukuza Ronaldo ni kitu cha kawaida ila Maywether hakuna kitu pale lile ni Jipu na litatumbuliwa hiyo 26
 
kwa mtu aliyeangalia pambano lile la Pacquaio aliona kazi yake halafu mtu ambaye alienda kupigana huku akiwa na injury ya mkono huwezi kumfananisha na Mayweather wenu huyu, kama kidume kweli Mayweather angemuangusha Pacman mapema lakini wapi, wameenda raundi mpka ya mwisho halafu unasema hakuna mtu kama Myaweather g'm a break nigga.
Wewe hujui ngumi halafu ni bonge la fala.

Ina maana haukuona zile ngumi tatu almanusura atolewe knockout na katika hizo ngumi moja ilimtandika barabara kwenye bega lilipolekea kuuguza kwa siku kadhaa.

Halafu bila aibu akaja kuwadanganya mafala kama wewe kwamba aliingia kwenye ring hali ya kuwa bega aliumia.

Halafu hata kama hujui kusoma picha napo hauoni?

Ina maana haukuona zile punches alivyokuwa anazirusha?

Kama kweli angekuwa ana maumivu ya bega aliwezejaje kunyoosha punches vile?

Aisee kama haujui kitu bora utulie ufunzwe kuliko kujiropokea hovyo.
 
FB_IMG_1503550129546.jpg

Pesa atakayolipwa leo Floyd ni kama mara tatu ya deni tunalodaiwa na Stirling Civil Engineering Limited.
 
Kigezo kimoja wapo cha Mayweather kushindwa kupigana na Pacman 2010 ni mayweather alikuwa hataki Bob Arum awepo kwenye mazungumzo, ukiachilia uoga wake wengine wakutaka Pacman apimwe mkojo kila muda hilo pia lilihusika. Hata walivyopigana hivi majuzi pia alikuwa hataki Bob arum awepo lakini alichemka kumuondoa.

Hata kwenye mpira tuzo akipewa messi lazima ronaldo amsifie na kumpa hongera hvyo hivyo akipewa Ronaldo messi huwa anamtukuza Ronaldo ni kitu cha kawaida ila Maywether hakuna kitu pale lile ni Jipu na litatumbuliwa hiyo 26
Umeona ulivyokuwa haujielewi?

Embu soma ulichokiandika halafu urudi hapa.

Kwanza ngoja nikuache maana inaonekana huna unachokijua kwenye mchezo huu, napoteza nguvu zangu bure kukuelewesha.
 
Wewe hujui ngumi halafu ni bonge la fala.

Ina maana haukuona zile ngumi tatu almanusura atolewe knockout na katika hizo ngumi moja ilimtandika barabara kwenye bega lilipolekea kuuguza kwa siku kadhaa.

Halafu bila aibu akaja kuwadanganya mafala kama wewe kwamba aliingia kwenye ring hali ya kuwa bega aliumia.

Halafu hata kama hujui kusoma picha napo hauoni?

Ina maana haukuona zile punches alivyokuwa anazirusha?

Kama kweli angekuwa ana maumivu ya bega aliwezejaje kunyoosha punches vile?

Aisee kama haujui kitu bora utulie ufunzwe kuliko kujiropokea hovyo.
Sikiliza ww boya, Mayweather mwenyewe alikuwa anajua kama jamaa kaingia ulingoni hali ya kuwa ni mgonjwa na hilo mwenyewe alisema anajua ndo advantage aliyoipata, lakni kama ni kidume kweli angemuangusha hata chini basi tungeona sifa mnazomsifia kama za kweli.

Basi ww ndo huna macho katika watu waliokuwa wanarusha ngumi Pacman ndo alikuwa anaongoza, Jamaa yenu kazi yake ilikuwa ni ya kuvizia tu ndo maana watu uwanjani walikuwa wana boooooo
 
Fuatilia michezo mingine tu, ngumi hauzijui.
 
Umeona ulivyokuwa haujielewi?

Embu soma ulichokiandika halafu urudi hapa.

Kwanza ngoja nikuache maana inaonekana huna unachokijua kwenye mchezo huu, napoteza nguvu zangu bure kukuelewesha.
wewe ndo hujielewi bro tatizo unaushabiki nazi unajifanya kutoa ufahamu
 
Back
Top Bottom