Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Unajua skuelew point yako,..?kwahyo kama angekuepo au asingekuepo kipind cha tyson?ndo iweje sasa,ni sawa na useme,daah maguful angekuepo kipind cha nyerere,asingeskika,..bogus kabsa..yan sjakuelewa kabsa,sasa ulitaka floyd asiwepo au ulitakaje,asipigane,yaan wabongo mna wivu wa kise.nge,..kila kitu kina zama zake,..zama ya tyson ilipita,hii ni zama ya floyd,na atakuja mwingne n the circle continueskuna mabondia zaidi ya 10 ambao wamepigana bila kupigwa hasa hizi ngumi ambazo sio heavyweight, sababu hawa jamaa ni wepesi hakuna mtu mwenye nguvu ya kuamua pambano kirahisi, kama unajua unajua.
kabla ya floyd alikuwepo calzaghe huyu muingereza wa wales amepigana hadi kustaafu bila kupigwa, alikuwa ni bingwa wa middleweight na kipindi chake walikuwepo kina Tyson, Evander, Lenox Lewis etc
floyd angekuwepo kipindi cha tyson hata asingesikika sana, sasa hivi unamjua sababu marekani hawana kitu heavyweight, hivyo wanaupa sana promo uzito wa floyd, wazee wa media.