Ujue usanii wa bondia Floyd Mayweather katika pambano lake na Connor McGregory

Ujue usanii wa bondia Floyd Mayweather katika pambano lake na Connor McGregory

mayeather money maker jombaaa...hapo atamwacha acha hd round ya sita ya saba mtu kakaaaa...Gregor kaingia cha kike
 
Sasa dunia ya saiz huwa kupiga hela utakuwa na akili wewe nowadays money is every things we endeleA kupiga majungu mwenzako anachukua milioni$100 wewe hata kwa mwaka hufiki milioni kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
nawasi wasi na uelewa wako, hamna anaepiga majungu,hapa naeleza kama mpenzi wa ngumi kilichopo nyuma ya ngumi hizo,siku nyingine kama huna cha kuongea wawezapita kimya,kwanza wapenzi wa ngumi washanielewa mda mrefu nnachomaanisha
 
hawa watu kma Floyd Mayweather ndio wamefanya boxing idharaulike nlipoteza mda wangu bure kwenda kuangalia fight yake na Mann Pacyao nika ambulia kuona upuuzi tu in short Floyd Mayweather ni msanii tu kma mrisho mpoto
Kwa watu wasiojua prof boxing kama wewe unasema Mayweather si mpiganaji lakini uzuri ni kwamba hakuna anayehitaji mawazo ya mtu kama wewe maana zaidi ya mapenzi yako huna ujuzi wowote wa ngumi. Msikilize mtu kama Sugar Ray Leonard kuhusu Mayweather anayeijua game vizuri. Msikilize Mike Tyson anamzungumzaje Mayweather siyo wachambuzi mbuzi wa bongo wanaojiita nao wachambuzi.
 
Boxing sio ngono watu wanacheza kweupe tunaona huwezi kutufanya wote wajinga kisa Tyson kasema Hakuna anacho fanya Floyd Mayweather zaid ya kukimbia kimbia tu kwenye ring,.
 
Boxing sio ngono watu wanacheza kweupe tunaona huwezi kutufanya wote wajinga kisa Tyson kasema Hakuna anacho fanya Floyd Mayweather zaid ya kukimbia kimbia tu kwenye ring,.
Ni kweli,ovyo kabisa hawa jamaa wameua ngumi.siku hizi zimekuwa biashara.hakuna pambano la kutuamsha saa 9 za usiku.ngumi hazina ladha.yaani kama unaangalia maigizo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boxing sio ngono watu wanacheza kweupe tunaona huwezi kutufanya wote wajinga kisa Tyson kasema Hakuna anacho fanya Floyd Mayweather zaid ya kukimbia kimbia tu kwenye ring,.
Wewe huwezi kusikilizwa sababu hujaalwahi hata kuvaa gloves wala hujaziona zaidi ya kuangalia katika magazeri na tv kwanini tukusikilize wewe?
 
Ni kweli,ovyo kabisa hawa jamaa wameua ngumi.siku hizi zimekuwa biashara.hakuna pambano la kutuamsha saa 9 za usiku.ngumi hazina ladha.yaani kama unaangalia maigizo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumi si kuuana ni mchezo sijui unafuraha gani kumuoana watu kama hawa katika video hii. Ndiyo maana watu wanaomlaumu Floyd ni wapuuzi maana yupo skillful na atastafu wakati ni mzima kiakili siyo kama hawa waliwafurahisha ninyi na sasa ni mizigo kwa familia zao.

sugar ray leonard on mayweather
 
Haujui ngumi.ngumi za akina tyson utazifananisha na za akina mayweather.mwenye matokeo ya kupangwa?anayechezea kumi kwa njaa zake.utachekwa.
Hawa jamaa wanashusha heshima ya ngumi.wenzio wapo kibiashara.ndo maana wakaliita MONEY FIGHT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujui ngumi.ngumi za akina tyson utazifananisha na za akina mayweather.mwenye matokeo ya kupangwa?anayechezea kumi kwa njaa zake.utachekwa.
Hawa jamaa wanashusha heshima ya ngumi.wenzio wapo kibiashara.ndo maana wakaliita MONEY FIGHT.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna cha kusema bora soma comments za watu maana hueleweki unataka kusema nini.
 
Haujui ngumi.ngumi za akina tyson utazifananisha na za akina mayweather.mwenye matokeo ya kupangwa?anayechezea kumi kwa njaa zake.utachekwa.
Hawa jamaa wanashusha heshima ya ngumi.wenzio wapo kibiashara.ndo maana wakaliita MONEY FIGHT.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww sio shabiki wa ngumi.na haujui ngumi.itakuwa ngumu kunielewa.ukiniambia may anafanya maonyesho ya ngumi nitakuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli kabsa,boxing ni mchezo namba moja wa real fight dunian,..mcgregor anacheza round4 halaf anatumia had mateke,kukabana,kupigana makofi ndo aje akutane na mtu anaye aim kichwan tuu na ndo mkali wa hizo kaz,mcgregor atakufa ulingon..kama ni mfatiliaj wa boxing utakumbuka jins kaseba alivochapwa na cheka had alitaka poteza maisha,
Hahahaha kaseba nahisi alijutia lile pambano
 
Bondia maarufu duniani floyd mayweather,ambaye amepigana mara 49 bila kupigwa anategemea kuingia ulingoni na mc gregory ambaye sio proffesional boxer na hana rekodi yoyote katika boxing,yeye ni proffesional katika mchezo unaitwa mixed martial artist,(ni mchezo ambao unachanganya ngumi,mateke,kukabana,kudondoshana na vitu kama hivyo. kwanini nasema floyd ni mjanja.Ni wazi kabisa floyd atashinda hilo pambano kwa uhakika wa asilimia 90. kwa sababu zifuatazo

Mayweather ni proffesional katika boxer lakini anacheza na mtu ambaye sio proffesional katika boxer,yaani ameingia kwenye boxer halafu anakutana na mtu ambaye ndo kazi yake kwa mda wa kama miaka 30.

May weather kapigana mara 49 bila kupoteza wakati gregory kashapoteza huko kwenye mchezo wake sina hakika mara ngapi.

Kwenye boxing kuna roundi 12 wakati kwa gregory huwa kunakuwa na roundi 4
Mayweather kakutana na proffesional boxers hatari zaidi lakini hawakumpiga ndo anapigwaje na mtu anayecheza mchezo tofauti akampiga ,mfano man pacgiao ndo alikuwa wa kumpiga mayweather lakini ilishindikana.

May weather mjanja sana yaani amewaaminisha watu kama anawewza kupigwa ili pambano livutie mashabiki ili apige mpunga mwingi,sababu kama watu wangekuwa na uhakika kuwa mayweather atashinda toka mwanzo pambano lisingevutia mashabiki,lazima iwe haijulikani ni nani atapigwa ndo watu wanavutiwa.

Na mbaya zaidi mayweather mwenyewe ndo promoter kupitia mayweather promotion,kwahiyo lazima amsifie jamaa lakini ukweli ni kwamba jamaa atakaa mapema tu.ni mtazamo wangu wapenzi wa ngumi mnaweza mkaongeza vitu hapa​
Mayweather ni mpigadili kwa tunaofaham kiundani asilimia 90% ya mechi za mayweather hua matakeo yanapangwa yan huwa ni maigizo km WWE.Anakula mikataba ya siri pamoja na makampuni mbalimbali zikiwepo kampuni za kubet pamoja na upande wa mtu anayechezanae match yan yote tunafanyiwa maigizo watu wanapiga pesa.Reference nzuri ni km ulivosema mwnyw kwamba yeye ni mpiganaji na promota ni kampuni yake mwenyewe na ndivo ilivokua hata ktk pambano lake na paq wa philipine.Hio ndio sabab anaingiza pesa nyingi sana na mara kadhaa alikua celebrity wa kwanza kwa pesa duniani had alipokuja kuzidiwa na akina ronaldo na messi...Ktk hela hashindwi kufanya chochote usishangae ht akashindwa ili achane mikeka ya dunia nzima ili apige pesa ambayo haijashikwa na celebrity yoyote duniani..
 
Real Boxing ilikuwa zamani wakati wa akina Tyson, Lenox Lewis, Evander, Klitchko mkubwa na ilikufa rasmi 2005.

Sikuhizi Boxing zimekuwa kama Rede.
 
Back
Top Bottom