Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

Huyo Mwenyezi Mungu Hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Zilizopo ni stori uchwara za vitabuni zisizo na uthibitisho wowote ule zinazo elezea kitu kiitwacho "Mungu" ambacho hakijawahi kuwepo kujidhihirisha chenyewe kama kipo.

Mnahangaika kumuongelea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo kujidhihirisha na kujiongelea mwenyewe.
 
Unathibitishaje huyo Mungu wako ni wa kweli?

Au unafosi imani yako ya huyo Mungu wako iwe kweli ilhali kiuhalisia sio kweli?

Thibitisha kwamba huyo Mungu wako wa uislamu ni ukweli.
 
Wanaojitoa mhanga kwa kuua waislamu wenzao ni waislamu.
 
Hicho kitabu kilisha mkataa Mungu ...maana jambo la kwanza kabisa kabla ya kua muislam lazima umkane Mungu...Hua wanasema Hakuna Mungu apasae kuabudiwa ila Allah 🤣🤣🤣harafu ajabu unakuta Tena neno Mungu kwenye kitabu hicho hicho ambacho hakimtambui Mungu kinamtambua Allah...Waislam mnaomtaja Mungu ninmakafiri nyinyi Allah ndo kiongozi wenu.Tuacheni na Mungu wetu nyinyi pambaneni na Allah wenu.
 
Ukiisoma korani bila kushikiwa upanga utaelewa kuwa ni kitabu kilichoandikwa na miungu wengi na sio Mungu mmoja .

Korani yote iko wazi kabisa kuwa Wanadamu waliumbwa na miungu mingi. "tulikuumbeni."
Na pia korani iliteremshwa na miungu mingi "Tulikuteremshia". Hata pepo ileandaliwa miungu mingi sio Mungu mmoja.

Kwa mujibu wa Korani kuna miungu ilimuumba binadamu.
Kuna miungu ikawateremshia Korani.
Kuna miungu ikawapa dini ya uislam.
Kuna miungu ikawaandalia hao binadamu waislam pepo yenye pombe na wanawake.

Waislam na uislam ni dini iliyotengenezwa na mpinga Kristo kama zilivyo dini nyingine katika mazingira ya Waarabu.
Korani ni sehemu ya vitabu vya Musa yaani Torati ya kwenye Biblia . Ikaletwa baada ya Mohamad kupata mafunzo ya mapadri alipokua ana safiri kwenda Misri kwenye biashara. Hakuna jipya ndani ya Korani .

Biblia imeandika vitu vyote tangu kuumbwa kwa dunia mpaka matukio yake na mwisho wake kwa usahihi wa majira yake.

Tafuteni Biblia zile za Mwanzo mtaona hadithi zote za mtume ziko kule.

Kutumia Korani kuwashawishi wa Kristo ni kuwaimarisha zaidi kwenye dini yao.
Korani hairuhusiwi kukosolewa na wasomi wa kiislam kwa sababu itausambaratisha uislam huu wa kushikiwa imani kwa ncha ya upanga . Bila upanga hakuna uislam duniani.
Uislam upo kwa sababu binadam anaogopa kuuawa. Saudi Arabia ukikutwa ukiwa unaongelea habari za Biblia unauawa.
Nchi nyingi za kiislam ni kosa kutumia biblia kuwahubiria Watu waingie kwenye uzima wa milele kuanzia hapa duniani basi unapewa hukmu ya kifo.
Hii imesababisha waislam wengi kutojua ukweli wa Mungu Muumba wa vyote
 
Ubwabwa Ubwela 🥺
 
Akuuu sitaki ushirika na Majini mie.
 

Attachments

  • Snapinsta.app_video_An-A1P5WEr2QH4eMLWM_r-w_FK0pMDiOx605UOpPA445GZTqvajvnhS_JnYmp7I5auux7FNBl8...mp4
    4.1 MB
Hata Mungu wako anamlaumi muham mad kwa mikelele yenu, ubishi na magomvi!
👇👇
Zukhuruf.57,58
وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ
57.
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.
وَقَالُوا أَآلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ
58.
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi.
 
kwani biblia si kaleta Yesu nabii Issa aliezaliwa Palestina? unashangaa nini? tumia akili japo za kuvujia barabara
Zero jibu maswali, mambo ya din nyingne inahusika vp, kumbe uwezo wa ku reason n mdogo
 
Akikujibu ni tag😂
 
Quran inasema kila nafsi itaonja mauti (Kufa) bibi zako bado wapo hai kijijini?
Koran imekuja imekuta watu wapo na walikuwa wanakufa , wabusu jiwe point zenu na koran yenu ni vichekesho
 
REASON CAPACITY THINKING YAKO KUBWA 🔥🔥🔥
 
Una akili kubwa
 
Unathibitishaje huyo Mungu wako ni wa kweli?

Au unafosi imani yako ya huyo Mungu wako iwe kweli ilhali kiuhalisia sio kweli?

Thibitisha kwamba huyo Mungu wako wa uislamu ni ukweli.
Akikujibu ni tag😂
 
Kwahiyo kufa ni mpaka iseme Quran,yaani hujui kitu kikizeeka huchakaa au kufa?

Naamini kweli kuwa Dini ni ugonjwa wa akili
Muulize kwani kabla ya kurani kushushwa watu walikuwa hawafi? Ni sawa na yule alenambia kurani ina sayansi yote mfano bahari ya atlantik haiungani na pasifik kitu ambacho ni kweli nikamuuliza kati ya bahari hizo mbili na kurani kioi kilianza akanambia anaenda kuswali
 
Dini ndio sababu kuu Africa ni shithole. Watu hawafikiri wanaishia kuomba na kuamini tu.

Hebu jifunzeni kufikiri for fuks sake.
 
KAZI YANGU KULETA UJUMBE NA USHAUSOMA NI JUKUMU LAKO KUUTAFUTA UKWELI, UKIBAKI HIVYO HIVYO NA GIZA LAKO HIO SIO KAZI YANGU MIMI
Dini ya Shetani nayo yaanza....sasa nao wanatumia maji🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 5787322-421114a1e751e0e7a207f5bbc0724875.mp4
    20.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…