Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Usitumie pedi moja kwa kutwa nzima kwa sababu kemikali zilizotumika (kuitengenezea) inabadilisha maji maji na kuwa rojo rojo ambayo inasababisha saratani katika kibofu cha mkojo na kwenye fuko la uzazi
Inabadilisha majimaji na kuwa rojorojo??😇😇😂😂
Hii sayansi ya wapi mzee?