Ujumbe kutoka kwa wanachama minority wa CHADEMA kwenda kwa mwenyekiti mpya Tundu Lissu

Tengeneza mfumo Uslamu basi ukunyanyue
 
Tengeneza mfumo Uslamu basi ukunyanyue
Ndugu unaujua mfumo wa kiislam. Ninaakini ukisikia misingi yake utaupigania Ukutswale.

Utawala ili uitwe wa kiislam una misingi mikuu minne.

Uwe unakusanya mapato

1. Yasiyotokana na Riba. Kwa naama mfumo wa kibenki na bima, morgage utakuwa interest free.

2. Mapato yasiyotokana na pombe

Mapato yasiyotokana uashesti na zinaa na umalaya. Kwa maana itafungwa sheria ambapo kuzini na tendo lolote la aibu kwa jamii litakuwa kosa la jinai

3. Kujenga nyumba na kuwakolisha wananchi wake ni jukumu la kwanza la seriali.

4. Wezi wa mali za umma, mafishadi, na raia mwizi, mzinifu adhabu zao ni kali sana.

Hata hivyo adhabu hizo haiwezi kutolewa hadi kwanza serikali itimize wajibu wake.

Kwa mfano mwizi raia hapaswi kukatwa mkono hadi kwanza serikali impe ajira na yeye mwenye kukataa na kuamua kuiba. Wazinifu hawapigwi mawe hadi kwanza uwawezeshe kuoa/kuolewa kwa kuwajengea affordable House za wao kumudu kupanga au kununua.

Mafisadi wanaofuja mali za umma, Sharia za kiislam haziwacheleweshi.

Fikiria sasa zingekuwa zinatumika tz nchi ingekuwa na ustawi gani. Idadi ya ambao ni waadilifu wangapi wanaendelea kuwa hai na kuinjoy rasilimali za ya nchi yao.

Sasa moja ya jambo muhimu ktk kutengeneza mfumo wa uislam ni kuwa na utawala wa serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Lissu au Samia kama atakuwa rais wa JMT kazi yake ni kuwa mfariji mkuu pekee. Sio kama sasa mfumo unawatengeza viongozi kuwa ni wazungu watu.

Hata hivyo si wengi wa watu wa mwambao wanaielewa haya. Kwa kuwa wako contaminated na propaganda za ccm kuwa viongozi wakiwa wakristo watu au waislam watupu ni udini. Ni pumbazo liko ktk jamii yetu na si rahisi kuliondoa. Ndio maana tunaweka tahadhari hizi ili ile nguvu ya kutaka mabadiliko iwe shirikishi kwa jamii zote.

Sisi watu wa mwambao minority ktk chadema tunaelewa maana ya sera ya chadema ya utawala wa majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Na pamoja nanuchache wetu tunaitamani sera hii ianze kutawala jana, tofauti na chawa wengi wa Lissu anavyofikri
 
Umeandika vizuri, lakini ulipoingiza Catholic, KKKT umeniacha hoi.
Halafu case study ya Ethiopia ni irrelevant
Mwisho, huwezi kulinganisha uchaguzi wa CUF na Chadema, huu wa Chadema ulikuwa wa halali na free from interference
 
Jamii lalamishi daima... huko ccm na act nafasi za juu wengi ni imani hiyo.. wamejazana.. hakuna Wakristo wanaolalamika.. chadema hakuna harufu ya udini, ni inferiority complex inawasumbua... masheikh (wakiongozwa na sheikh mkuu) wamemkabidhi SSH kwa majini
 
Ukichaa at it's best. Wapuuzi na udini wenu mnawavulia CHADEMA nendeni ACT chama chenye waislamu wengi
 
Umeandika vizuri, lakini ulipoingiza Catholic, KKKT umeniacha hoi.
Halafu case study ya Ethiopia ni irrelevant
Mwisho, huwezi kulinganisha uchaguzi wa CUF na Chadema, huu wa Chadema ulikuwa wa halali na free from interference
Uchaguzi ulikuwa halali. Hija yangu ni kwa mwenyekiti mpya angefikiri ziada na kutafuta legitimate forums wamsapoti. Kwa hiyo kwake anatumia nafasi za kuteuwa alizonazo.
Ikitokea wakati wa kudai uhuru. chama cha tano kilichokuwa na waislam wengi waliopendekeza Mzee Nyerere kuwa kirana wa kupigania uhuru ili TANU uongeze wafuasi waktrito waliokuwa wanawaunga mkono wazungu.

Hii ndio strategy nilitamani mzee Lissu angeitupia kwa jicho la tatu
 
Sheikh Issa Ponda ana elimu kiasi gani hata kupewa majukumu makubwa ya Katibu mkuu wa chama cha siasa?.
Politics is about people's mindset. Taasisi ya siasa inahitaji ijiendeshe yenyewe hata kama aliyeteuliwa ni mbovu lkn ana wafuasi lukuki. Sheikh Ponda ana wafuasi sio kijiji ni nchi
 
Naunga mkon hoja CUF, ACT wajiunge na Chadema. Kisha 2029 Chadema watachagua viongozi wapya ambapo watu wote wamo ndani. Kisha 2030 utabiri wa sheikh Yahya unatimia. Ila sera ya majimbo isije ikasababisha baada ya miaka 10 kila jimbo likasema tujitenge.
 
Chadema ipo in transitional stage tokea masultani wapya wajinyakulie madaraka.
Well and good wape muda wa kupiga siasa.Lakini imebakia miezi 10 kuingia general election.!!! Sijui kama wafokaji wana catalyst ya kuleta ushindi wa uchaguzi mkuu.
Changamoto zipo,walidhani kuongoza chama ni sawa na uongozi wa familia mmoja ya mheshimiwa sana anaesadikika ameishamwaga damu nyingi kwa kukuza au kutetea au kulinda chama!
Sijui kama waliwahi kujiongeza walipokuwa wanafoka Mbowe must go bila kupitia sanduku la kura.
 
Naunga mkono. Tupaze sauti ktk hili kwa wale wanayotamani mabadiliko kwa kuzingatia mindset za makundibya jamii yanayounda tz
 
Mwenyekiti wa Taifa wa Bawacha ni mwanamke, muislamu anae vaa hijab, mzanzibari na Team Mbowe ngangari. Kachaguliwa na wajumbe ambao wengi ni kutoka Bara. Huyu anaingia moja kwa moja katika Kamati Kuu. Na wanawake ndio wanaobeba chama.

Amandla...
 
Sahihi. Ni bahati kwake kwa kuwa yeye ni mznz.

Lkn kubwa zaidi Wanawake Chadema wapewe mauwa. Wangereza kumchagua yyt.

Tatizo ni Lissu. Ana nafasi 7 za kuchagua katibu mkuu, manaibu katibu na wajumbe wa5 wa kamati kuu. Hakuwa na jicho kama jicho la wazee wa TANU kumchagua Mzee Nyerere ili wapate wafuasi wa mikoa waliokuwa wanawaunga mkono wazungu
 
wajiunge na chadema ili iweje? CHADEMA wao wenyewe kwa wenyewe haweshi kulana na kutukanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…