Uchaguzi 2020 Ujumbe kwa CCM: CHADEMA wanajua wanachokitaka na wanajua jinsi ya kupata wanachokitaka

Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kwasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha.
Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurimiwa kura.

Sasa basi. Imetosha.


😂😂😂😂😂😁😃😅😄

Awali nilijua CHADEMA sasa nimejua wewe ni nani.



SKY twende tukampe salamu MEMBE??
 
Wale mashangazi walodhirimiwa korosho kule Mtwara sijui watakuelewa

Kwa kuwa viroba hakuna watanielewa tu.

Mkuu SKY😂😂😁😁😀😀😅😅😄😄😃😃😆😆😇😇😉😉
 
Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha.
Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhrumiwa kura.

Sasa basi. Imetosha.
Mungu kishaachiwa mengi sana ! kuendelea kumuachia hata wizi wa kura ni makosa makubwa sana !
 
Hivi Lissu na Meko ni nani ana mdomo mchafu. Wamatumbi kule Kilwa hawataki hata kumsikia high mtu asiyeweza kuongea lugha ya Malkia. Wamakonde wa Mtwara hali kadhalika na hata Wakaguru wa Kilosa hawataki kumuona.
Enzi za JMK ndo enzi pekee za CHADEMA kupita.

Vinginevyo mfunzeni LISSU kwa akili aliyonayo aijaze hekima ndani yake.

Ulimi wake aufunze namna ya kuwafariji walio wake na wasio ili wote awapate.
 
Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha.
Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurumiwa kura.

Sasa basi. Imetosha.
Kama walipigwa,kufungwa na kudhurumiwa kwa nini hamjashikataki HC?
 
Hizi tambo, mbwembwe na mikogo hatujaanza kuiona leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…