Uchaguzi 2020 Ujumbe kwa CCM: CHADEMA wanajua wanachokitaka na wanajua jinsi ya kupata wanachokitaka

Uchaguzi 2020 Ujumbe kwa CCM: CHADEMA wanajua wanachokitaka na wanajua jinsi ya kupata wanachokitaka

Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha.
Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurumiwa kura.

Sasa basi. Imetosha.
Kwa haya maneno na hii morali ya Chadema najua yule wa magogoni wiki hii nzima hatolala. Anaweza kuruka ukuta wamuangalie vizuri walinzi pale
 
Kama wakimsweka lupango, Meko hatapata hata 2% ya kura zote.

Ina maana watanzania watamchagua Lissu kwa 98% akiwa lockup.
Mechi ya mwisho Kati ya simba na yanga, yanga alipigwa kwasababu ya kuingia na matokeo ya mfukoni na kutegemea mababu zao kwamba wamekwisha cheza wao wanaenda kutimiza tu wajibu, matokeo yake unafahamu...

Wait and see, as you know seeing is believing.
 
Back
Top Bottom