Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Uonevu wa ccm SASA BASI.Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha.
Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurumiwa kura.
Sasa basi. Imetosha.
Maccm yamezoea kukandamiza watu halafu pipo zinapotezea , safari hii ni jino kwa jino.Lissu si mtu wa kumuachia Mungu, wala hayuko tayari kutoa shavu la pili lipigwe tena.
Jifunze kuwa na adabu,shost ndio nini!Jana si leo shost chagu wa malunde
Kwa haya maneno na hii morali ya Chadema najua yule wa magogoni wiki hii nzima hatolala. Anaweza kuruka ukuta wamuangalie vizuri walinzi paleKwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha.
Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurumiwa kura.
Sasa basi. Imetosha.
Leo utalala na viatu, kudadadeki!Jifunze kuwa na adabu,shost ndio nini!
Kama wakimsweka lupango, Meko hatapata hata 2% ya kura zote."The Arrest warrant of 28th August"
Mechi ya mwisho Kati ya simba na yanga, yanga alipigwa kwasababu ya kuingia na matokeo ya mfukoni na kutegemea mababu zao kwamba wamekwisha cheza wao wanaenda kutimiza tu wajibu, matokeo yake unafahamu...Kama wakimsweka lupango, Meko hatapata hata 2% ya kura zote.
Ina maana watanzania watamchagua Lissu kwa 98% akiwa lockup.