Karibu sana jmn utakula mpaka chakula ikione ni adui yakotena mwaambie aandae siwanijua mdog wako kwa kula
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wew andaa kila kitu mie kazi yangu kupochoa tu nikija
Itakua poa sanaanaanzaje kuniacha kwa mfano sasa
Hahahaaa. Na kweli aisee.Kuna raia humu huwa wanafuatilia raia kimya kimya,[emoji23][emoji23][emoji23]
hahha nidokeze kidogo unatuandalia chakula ganiKaribu sana jmn utakula mpaka chakula ikione ni adui yako
Itakua poa sana
Akhaa sikuambii nyie njooni mtakuta huku hukuhahha nidokeze kidogo unatuandalia chakula gani
Hebu nisogee hapo karibu kwenye hilo zogo pengine kuna mtu anahitaji ushauri wa hali na mali tumpatie, maana ushungi huo Mashaallah yawezekana wanataka kufika bei, lakini vigezo na masharti lazima vikaguliweMie sijambo namshukuru Allah. Hahahaa.
Hata sijui na mie nasikia tu Hajar hivi mara kakosea hivi, sijui angendika vile basi tafran. Lol.
[emoji85]
ngoja tupange basi maan mmhAkhaa sikuambii nyie njooni mtakuta huku huku
Hahahaa. We sogea tu wala usijali.Hebu nisogee hapo karibu kwenye hilo zogo pengine kuna mtu anahitaji ushauri wa hali na mali tumpatie, maana ushungi huo Mashaallah yawezekana wanataka kufika bei, lakini vigezo na masharti lazima vikaguliwe
Hahah aya karibuningoja tupange basi maan mmh
tushakaribia mwayaHahah aya karibuni
Swahiba mimi nilikushtua tu km kuna ujumbe wako huku!Hahahaa. We Swahiba weweeee. [emoji85]
Pacha naona nataka kupata shemeji mie lolHahahaa. We sogea tu wala usijali.
Uzi unaingia kwenye hansard za JF, hautakiwi ufutwe ipo siku utaurejea kama kumbukumbu juu ya yale uliyowahi kupitiaJamaa kashauri vzuri, una mtia moyo hapa hadharani.
Halaf una mfuata PM unamuaibisha shetani huko kimya kimya then una move on.
Mi nikikataliwa live ntawaomba mods waufute uzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkishaambiwa "baby nikwambie kitu"
Kichwa kinaanza kuuma gafla,kama alikupigia utajifanya network imekata na humsikii kabisa,kama ni meseji utauchuna,utazima simu,utatoa betri na laini kabsa,huku mapigo ya moyo yakiwa yamepoteza muelekeo[emoji23]
Makombora hayajawahi acha mtu salama kwa kweli
HahahaahahaaaaaAsee mi sishindwi nikiona mods wanazingua, hapo naweza hata ku uedit uzi nandika mambo ya JPM .
Siwez kosa solutuon hapo.[emoji23]
Eeh jaman hata efforts za kufungua uzi ziangaliwe kabla ya kutumwaga hadharani.
Mkuu habari ya wewe.Mie sijambo namshukuru Allah. Hahahaa.
Hata sijui na mie nasikia tu Hajar hivi mara kakosea hivi, sijui angendika vile basi tafran. Lol.
[emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] Atakuja na emoj sihuwa zinawahi kuiva
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jolie Jolie bana.
Nina Imani nikishika kalamu juu yako, hutonijibu vibaya majibu yale...