Hahahaa. Ametia neno mbona.Kumbe,halafu sina hakika kama katia neno humu.
Basi kheri,ngoja tusubiri tuone kama kura za mikononyuma zitatosha.Hahahaa. Ametia neno mbona.
Ha ha ha ha...!Shit, kumbe mtu ashakula kibuti japo kaweka mikono nyuma?
Someone's weekend is in flames already!
Ha ha ha ahsante mkuu Mwifa.Uzi unaingia kwenye hansard za JF, hautakiwi ufutwe ipo siku utaurejea kama kumbukumbu juu ya yale uliyowahi kupitia
Ha ha ha ahsante mkuu Mwifa.Uzi unaingia kwenye hansard za JF, hautakiwi ufutwe ipo siku utaurejea kama kumbukumbu juu ya yale uliyowahi kupitia
Unakomaa tu mkuu Mwifwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jolie Jolie bana.
Nina Imani nikishika kalamu juu yako, hutonijibu vibaya majibu yale...
Sorry: it's Mwifwa.Ha ha ha ahsante mkuu Mwifa.
Teh teh teh teh...!Hahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar.
Hahahaaaaaaaa. Duuh.Basi kheri,ngoja tusubiri tuone kama kura za mikononyuma zitatosha.
Ushauri,kama kura hazitatosha kutakuwa na haja ya kuitoa mikono nyuma na kuiweka mbele maana mbele ndio kunafaa, hii habari ya nyuma nyuma sidhani kama iko poa.
[emoji85] [emoji85]Teh teh teh teh...!
Nimeipenda hiyo...![emoji85] [emoji85]
Zamani kama unataka nyumba ya kupanga National Housing wanakwambia katafute nyumba ya NHC ambayo haina mtu halafu uiripoti kwao wakupe wewe uwe mpangaji. Sasa ilikua ukishaipata ukawafuata uwaambie nyumba iko mahali fulani haina mtu wanakushukuru kwa taarifa halafu wanakutolea orodha ya watu kibao ambao walikua katika waiting listDuuh! Hii yako kali ujue mikononyuma.
Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh
Acha tu unajua kumuombea mtu kifo ni zambi !!!lakini nahisi shetani ananijaribu eti natamani uanze eda ukimaliza tu niwahi
Hahahaaa. Huu ujumbe mikononyuma ameshaupata kwa kweli na asipouelewa basi tena. [emoji85]Zamani kama unataka nyumba ya kupanga National Housing wanakwambia katafute nyumba ya NHC ambayo haina mtu halafu uiripoti kwao wakupe wewe uwe mpangaji. Sasa ilikua ukishaipata ukawafuata uwaambie nyumba iko mahali fulani haina mtu wanakushukuru kwa taarifa halafu wanakutolea orodha ya watu kibao ambao walikua katika waiting list
Mshenga kule naona alishakaa mkao wa kula, nadhani alikua na orodha ya vitu vya kumpelekea mikononyuma kama vile, mkaja wa bibi, koti la babu, mchumba ulimuonea wapi, kibwebwe cha shangazi, shanga za dada, kigodoro cha upwa na mazagazaga kibao kabda ya mahari...lakini kumbe kisicho riziki hakiliki! basi tenaHahahaaa. Huu ujumbe mikononyuma ameshaupata kwa kweli na asipouelewa basi tena. [emoji85]
Hahahaaa. Umeonaeee. Na alijipanga hasa sababu mpaka kufikia hatua ya kuomba ushenga sio jambo dogo.Mshenga kule naona alishakaa mkao wa kula, nadhani alikua na orodha ya vitu vya kumpelekea mikononyuma kama vile, mkaja wa bibi, koti la babu, mchumba ulimuonea wapi, kibwebwe cha shangazi, shanga za dada, kigodoro cha upwa na mazagazaga kibao kabda ya mahari...lakini kumbe kisicho riziki hakiliki! basi tena
Ila washenga wa Dar hua hawaaminiki aisee, kuna mmoja aliwahi kupewa ushenga si akajifanyia ushenga mwenyewe! Kwa bahati(utachagua mwenyewe hapo kama ni nzuri au mbaya) mchumba akashtuka na akawapiga chini wote akawaona wahuni, nikimkumbuka yule jamaa mshenga msambaa na lafudhi yake ilivokua akiongea hua nacheka peke yanguHahahaaa. Umeonaeee. Na alijipanga hasa sababu mpaka kufikia hatua ya kuomba ushenga sio jambo dogo.
DadekHahahaaa. Huu ujumbe mikononyuma ameshaupata kwa kweli na asipouelewa basi tena. [emoji85]
Hahaaa! Huyo mshenga ni balaaa. Duuh.Ila washenga wa Dar hua hawaaminiki aisee, kuna mmoja aliwahi kupewa ushenga si akajifanyia ushenga mwenyewe! Kwa bahati(utachagua mwenyewe hapo kama ni nzuri au mbaya) mchumba akashtuka na akawapiga chini wote akawaona wahuni, nikimkumbuka yule jamaa mshenga msambaa na lafudhi yake ilivokua akiongea hua nacheka peke yangu
Zakazaka ni noma mkuuMshenga kule naona alishakaa mkao wa kula, nadhani alikua na orodha ya vitu vya kumpelekea mikononyuma kama vile, mkaja wa bibi, koti la babu, mchumba ulimuonea wapi, kibwebwe cha shangazi, shanga za dada, kigodoro cha upwa na mazagazaga kibao kabda ya mahari...lakini kumbe kisicho riziki hakiliki! basi tena
HahaaaaaNimeipenda hiyo...!