Ndio. Nakumbuka mdogo wangu.Ahsante Dada yangu naona ushauri wangu umezaa matunda.
Unakumbuka nilikuambia ile haijapendeza machoni nikakuambia tafuta nyingine ndio ukaiweka hii
Ahsante sana Mkuu. Shukrani sana.Anabusara sana huyu mtu
Hii promo ishamaliza kila kitu sasa kila ukipita sehemu sio mgeni tena machoni mwa watuNdio. Nakumbuka mdogo wangu.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Duuh! Jamaani jirani. [emoji85] [emoji85]
UpoNdiyo maana jana nilishauri bora mabinti wapewe natural justice ili wamwage mboga hadharani.Kama YES au NO.
Mkuu upo?Hahahahahahahaaaaaaaa
Nyie watu mmevunja mbavu zangu hapa
Bora kaambiwa tu ukweli ili atafute namna nyingine bila kupoteza mudaMkuu upo?
Dada ndio hivyo tena kamvuruga akili mikononyuma.
Sawa,lakini mkuu hata rangi yake kuijua?Ukimchunguza bata hutomla
Kuna mdau kamshauri aende kwa mshana Jr ili ampe dawa ya mvuto.Bora kaambiwa tu ukweli ili atafute namna nyingine bila kupoteza muda
Hiyo shughuli imefanyika lini jamani?hahaha mbon mmechelewa sasa tumeshamlia ubwabwa hajar mjue
Hakuna mwingine aliyebaki japo awe ana fanana nae?hahaha mbon mmechelewa sasa tumeshamlia ubwabwa hajar mjue
Hapo itamsaidia pia.Kuna mdau kamshauri aende kwa mshana Jr ili ampe dawa ya mvuto.
Halafu imekuaje Demiss aka cha mdeko wako kutekwa na mganga mshana?
Au ndio ndumba katika ubora wake?
naomb radh sikukualika nisamehe san rafikHiyo shughuli imefanyika lini jamani?
Pole sana,dumba nuksi kweli.Hapo itamsaidia pia.
Mkuu wee acha tu ukisikia njiwa amepeperushwa ndio ilivyotokea kwa cha mdeko
ukiniona nistue kuna mdogo wetu mmoja tu ndo kabakiaHakuna mwingine aliyebaki japo awe ana fanana nae?
Ha ha ha ha nakuhurumia maana jamaa anaonekana huwa hafanyagi makosa.
Usijali mpendwa,huyu mikononyuma itabidi sasa aihamishie mbele ili asiendelee kubaki nyuma nyuma.naomb radh sikukualika nisamehe san rafik