Temanyika wa Nyika
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 201
- 309
Mkuu jihazali na watuwasiojulikana Hajar mpaka unamuona alivyo kuna hudumu zimepita na anahudumiwa huyo.Yaani avatar yako imefanana na ustaarabu wako humu ndani ya JF. Kama iyo avatar ni muonekano wako na haujaolewa naomba niwe mumeo tafadhali.
Shikamoo!! Nisije kosa mke kwa kukosa adabu kwa watu muhimu kama wewe , nipe taratibu ao tukutana P M.mwambie apitie kwangu taratibu zote nitampa
Mkuu kuhudumiwa mwanamke kawaida ata mimi nimeshahudumia kadhaa lakini wameoa wengine. Ndio mana nimesema kama bado hajaolewaMkuu jihazali na watuwasiojulikana Hajar mpaka unamuona alivyo kuna hudumu zimepita na anahudumiwa huyo.
Nimekusoma mkuu,hiyo kawaida ila tumsikilize mwenyewe akitiriika humuMkuu kuhudumiwa mwanamke kawaida ata mimi nimeshahudumia kadhaa lakini wameoa wengine. Ndio mana nimesema kama bado hajaolewa
marahab vumilia kidogo tu nimeshamueleza kila kitu atakuja hiv karibun vuta subra tuShikamoo!! Nisije kosa mke kwa kukosa adabu kwa watu muhimu kama wewe , nipe taratibu ao tukutana P M.
[emoji25] [emoji25] pole jamni tyr kawahiwa itakuaje sas ila ngoja aje[emoji124] [emoji124]Mkuu kuhudumiwa mwanamke kawaida ata mimi nimeshahudumia kadhaa lakini wameoa wengine. Ndio mana nimesema kama bado hajaolewa
Yako mengi maagizo ila siyo igizo,nimefika tayar nipe maagizo yako
japo nimekuelewa lkn kumpata umechelewaYako mengi maagizo ila siyo igizo,
Hatari kusema hadharani nitazua full gumzo,
Mdirect mzigua 90 aje pangoni mwongoze mpe mafunzo,
straight point am always talkin siyo uozo,
Still nasimamia maneno haya imara kama nguzo,
Please mwambie welcome (P)rofessor (M)zigua ndani kuchukua tuzo.
[emoji4] [emoji444] [emoji441]
( freestyle rap )
Nadhani ushaelewa kiari.
Freshi hakuna tatizo. [emoji4]japo nimekuelewa lkn kumpata umechelewa
ujumbe wako nimeufikisha hivi punde hivi punde atawasili
marahab vumilia kidogo tu nimeshamueleza kila kitu atakuja hiv karibun vuta subra tu
Yaani ya moyoni katoa 1 naona 12 wote wanamtaka.... [emoji4]Kupatwa kwa Hajar
Yaani ya moyoni katoa 1 naona 12 wote wanamtaka.... [emoji4]Kupatwa kwa Hajar
nishamwita anakuja mud sio mrefuMfikishie iyo link yaani nasikiliza iyo nyimbo uku naangalia avatar ya Hajar
Nishavuta kigoda na popcorn zangu kwenye kibakuli namsubiria nione majibu yakenishamwita anakuja mud sio mrefu
haha alivy na aibu sas sijui kam hatatembeza like tuNishavuta kigoda na popcorn zangu kwenye kibakuli namsubiria nione majibu yake
[emoji2][emoji2]haha alivy na aibu sas sijui kam hatatembeza like tu