Temanyika wa Nyika
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 201
- 309
Mkuu jihazali na watuwasiojulikana Hajar mpaka unamuona alivyo kuna hudumu zimepita na anahudumiwa huyo.Yaani avatar yako imefanana na ustaarabu wako humu ndani ya JF. Kama iyo avatar ni muonekano wako na haujaolewa naomba niwe mumeo tafadhali.