hahha siunamjuaee[emoji2][emoji2]
Kwan emmy hayupo?Huyu Hajar mwandiko wake unafanana na wa emmyta.
Zimetembea like za maana [emoji2]hahha siunamjuaee
Hahahaa. DuuhNaomba ushenga....
Mmh. Pole.Huyo mwanaume tatizo unakurupuka kuangalia ID [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
sinilikwambia yaan dada angu huyu kwa like tu hana choyo nazoZimetembea like za maana [emoji2]
Hahahaa. Duuh
Na kweli sababu sio kwa kunipa uanaume huo. Hajar na uanaume wapi na wapi.Mtake radhi shemeji yangu aise.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lol.mwambie apitie kwangu taratibu zote nitampa
Mambo yako leo shogaa?!Hahahaaa. Nshakuja mwaya.
Hahahaaa. Nimeshapita rafiki yangu kipenzi.Dada angu kipenzi msiri wangu mwandani wangu Hajar pitia huku
Hahahaa. Mie nakusalimia rafiki. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji12] [emoji12][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lol.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85] [emoji85]JF katika ubora wake.