nimemwambia kama tyr tunamilikiwa naona kapat uchungu ndo maan kapotea kweny uzi wakeHahahaaa. Nimeshapita rafiki yangu kipenzi.
Kwa nini hujamwambia uwazi mikononyuma sasa. [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Huwa nakukubali sana ujue.Mkuu jihazali na watuwasiojulikana Hajar mpaka unamuona alivyo kuna hudumu zimepita na anahudumiwa huyo.
Hahaaa. Nshatiririka. Ilaa uzuri alijihadhari tangu mwanzo.Nimekusoma mkuu,hiyo kawaida ila tumsikilize mwenyewe akitiriika humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani ya moyoni katoa 1 naona 12 wote wanamtaka.... [emoji4]
Hahaha dada Hajar hii comment yako imenifanya nimkumbuke VladiNimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.
Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahaaaa. Najua ushamaliza kucheka rafiki. Haya tia neno. Lol. [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nimalize kucheka ndio nije kutoa neno
Hahahaaa. Mdogo wangu ujue Mungu anakuona lakini.Ongea nae kwa herufi kubwa.
Hahahahaaaa. [emoji85] [emoji85]Zimetembea like za maana [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaa wanaume wa dar washaniwahii, nilikuwa na lengo hilohilo ngoja ntafute kina mwajuma wa mtaan kwetu tu
Hahaaa ..hatimaye umetokea.Hahahaaa. Mdogo wangu ujue Mungu anakuona lakini.
Hahahaaaa. mikononyuma amechelewa tatizo.Ndio. Au hautaki tukuozeee
Hahahaa. Mie nakusalimia rafiki. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahaaaaa. Yaaani naishia kucheka tu.Mambo yako leo shogaa?!
Haahha kavaa kinyago huyo shogaangu,.watu wana hatariiHahahaaaaa. Yaaani naishia kucheka tu.
Sababu huwezi amini sijawahi ona hii id ya mikononyuma ujue hivyo nimejikuta napata mshangao kamjuaje Hajar.
Hahaha. Itakuwa ana kazi labda sababu kwa alichoandika alikuwa tayari kwa majibu yote mawili kama ndio au hapana.nimemwambia kama tyr tunamilikiwa naona kapat uchungu ndo maan kapotea kweny uzi wake
Saba imeisha leo weekendJAMANI HAWA WALIOKO KWENYE MWEZI WA ASALI MBONA HAWASIKII,WAMEAMBIWA WAACHANE NA SIMU WAENDELEE NA UZALISHAJI MPAKA SABA IISHE