Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Nimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.

Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.

Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahaha dada Hajar hii comment yako imenifanya nimkumbuke Vladi
 
JAMANI HAWA WALIOKO KWENYE MWEZI WA ASALI MBONA HAWASIKII,WAMEAMBIWA WAACHANE NA SIMU WAENDELEE NA UZALISHAJI MPAKA SABA IISHE
Saba imeisha leo weekend
IMG_20180324_133453.jpg
 
Back
Top Bottom