Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Nimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.
Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Wacha weeee. Haya Hajar anakwambia hongera. Lol.Hahahahahah.
Kwa binamu yangu Suzi.
Tume muoza juzi juzi
Jiraninimemwambia kama tyr tunamilikiwa naona kapat uchungu ndo maan kapotea kweny uzi wake
Hahahaaaaa. Umeonaeeee.Maneno matamu
Hahahaa. Nimecheka sana ujue.hahha bora umwambie wew maan D😀😀[emoji23] [emoji23]
Sijambo Ndugu habari yako?[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahah!! Utamuweza huyu rafiki
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Sijambo Ndugu habari yako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na Mimi kwa hii comment yako umenifanya nami nimkumbuke[emoji1]Hahaha dada Hajar hii comment yako imenifanya nimkumbuke Vladi
Hahahaaaaa. Lol.[emoji23] [emoji23] [emoji23] na Mimi kwa hii comment yako umenifanya nami nimkumbuke[emoji1]
niambie jiranJirani
kwa nin dadHahahaa. Nimecheka sana ujue.
Nakusalimu kwa Mara ya piliniambie jiran
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaaaaaa. Kumbuka tu shoga angu.
Ujue kiuhalisia huwezi sema unaye mtu tayari halafu uanzishiwe uzi useme sina yaani utaonekana bonge la mjinga. Mie naona kuanzishiwa uzi siku zote hakuzuwii mtu kuzungumza ukweli wake.
Pia huenda ikawa mleta uzi kashindwa kuingia kule kwa Waziri Mkuu sababu nimekufunga na makufuli hivyo kaamua kuja kufungukia huku labda huenda angebahatika. Teh
Ngumu kumeza...[emoji23]Hahaha. Itakuwa ana kazi labda sababu kwa alichoandika alikuwa tayari kwa majibu yote mawili kama ndio au hapana.
Hivyo hawezi kimbia. Teh.
Itakuwa fake ID...may be kesho atakuja kivingine.Hahahaaaaa. Yaaani naishia kucheka tu.
Sababu huwezi amini sijawahi ona hii id ya mikononyuma ujue hivyo nimejikuta napata mshangao kamjuaje Hajar.
Yuko busy... Au anasubiri majibu kama kwenye interview?cc mikono nyuma Hajar nimemleta tyar mbon huonekani sas