Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Nimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.

Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.

Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
 
Aisee, nimekumbuka ule uzi wa Putin akika alisema ukweli.
 
Hahahaaaaaa. Kumbuka tu shoga angu.

Ujue kiuhalisia huwezi sema unaye mtu tayari halafu uanzishiwe uzi useme sina yaani utaonekana bonge la mjinga. Mie naona kuanzishiwa uzi siku zote hakuzuwii mtu kuzungumza ukweli wake.

Pia huenda ikawa mleta uzi kashindwa kuingia kule kwa Waziri Mkuu sababu nimekufunga na makufuli hivyo kaamua kuja kufungukia huku labda huenda angebahatika. Teh
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahahaaaaa. Yaaani naishia kucheka tu.

Sababu huwezi amini sijawahi ona hii id ya mikononyuma ujue hivyo nimejikuta napata mshangao kamjuaje Hajar.
Itakuwa fake ID...may be kesho atakuja kivingine.
 
Back
Top Bottom